Kama hujui kitu ni bora ukae kimya au uliza utasaidiwa badala ya kuja na ubishi wa kijinga!acha uongo wewe.
===>Mimi huwa najiuliza kitu kimoja hivi akija Katibu Mkuu Mtendaji Muislamu pale NECTA hawa ndugu zetu watapata wote Div I,II au III?.
eti ana phd lkn hafai aondoke.
Hivi wanaamini kwamba ndalichako ndiye mchawi wa mass failure ya Muslims??
aisee tulipo fikia pana sikitisha....nimejione vituko vya NSSF...lakini hivyi ni zaidi ya vituko, nchii ipo pabaya.
Mheshimiwa Said Mohamed Mtanda, mbunge wa Mchinga (CCM) ni mhusika wa karibu kabisa wa mpango huu.
Kama ndalichako hahusiki na mitihani ya kidato cha pili nani muhusika? Nadhani unakurupuka tu na husomi ukaelewa nani kakuandikia tarehe rasmi ya idd elhajji mm nimeandika wiki ya inayo angukia sikukuu ya idd. Na makamo mufti hukumuelewa alicho kusudia ni kuwakumbusha waislam sio kuamrisha.
Naona matusi yamekuwa mengi sana toka kwa wakristo. Jamani msiwe wajinga. Ndalichako ndio kichwa cha baraza kama aliowateua ndio walileta mchezo mchafu inamaana yeye anatakiwa awajibike. Kwa usalama wake yeye mwenyewe avunje baraza na kuliunda upya ili kuondoa sintofahamu ya sikunyingi kati ya necta na waislam. Niulize,hivi kuna kigezo gani ambacho waislam hawana ili waweze kushika nafasi ya ukatibu necta? Tangu kuundwa kwa baraza akujawahi kuwa na muislam aliyeshika wadhifa huo kuna siri gani hapa? Ili uweze kujua siri iliyopo hebu acheni ubishi karejeeni kitabu cha Padr J.Sivalon ndio mjue kuwa waislam hatukurupuki kama nyie mnavyokurupuka hapa. NECTA imegeuzwa kuwa kama parokia kwani nchi hii ni ya wakristo pekeyao? Jinsi mlivyo wabaguzi tunawajua. Kwenye maofisi situpo pamoja? Mnaficha uozo eeeh!
Kama ndalichako hahusiki na mitihani ya kidato cha pili nani muhusika? Nadhani unakurupuka tu na husomi ukaelewa nani kakuandikia tarehe rasmi ya idd elhajji mm nimeandika wiki ya inayo angukia sikukuu ya idd. Na makamo mufti hukumuelewa alicho kusudia ni kuwakumbusha waislam sio kuamrisha.
Kwani ndalichako hatizami kalenda ya kitaifa hajui kama serikali muajiri wake anatambua sikuku za kiislam.vp yeye apange mitihani yakitaifa ya kidato cha 2 wiki iliyo na idd alhajji? Je wtt wanakaa bording wafanye mitihani au washerehrkee idd? hajui kama anajiongezeea maadui?