Mpango wa kumng'oa Dr. Ndalichako

Status
Not open for further replies.

hiyo shule inaitwa Kahama Muslim Secondary! Ukilinganisha na shule za Katoliki pale utaona, Queen of Apostles (Ushirombo Sec) ya tatu kitaifa, Queen of Family Girls(kwa masista ya 25 kitaifa, John Paul Sec ya 78 kitaifa. Kahama Muslim ya 3000!! Ngono Kahama Muslim ni sunna
 
kweli kabisa usipinge mbona hata fr kitima wa SAUT amesom sharia huko lebanon. Na askofu kilaini amesoma islamic knowledge huko misri
Gwalihenzi yupo sahihi

mapadri wote wa kanisa katoliki wamesoma Uislam na hata sharia. Wanaujua uislam ndani nje, ila hawafundishwi at Secondary School level
 
Last edited by a moderator:
Siku Dr. Ndalichako ametoka NECTA wafanyakazi wa baraza watafanya sherehe! Walimu wanaosahihisha mitihani watacheka kwamba mnoko katoka.
 
Siku Dr. Ndalichako ametoka NECTA wafanyakazi wa baraza watafanya sherehe! Walimu wanaosahihisha mitihani watacheka kwamba mnoko katoka. Ila kwa madudu yaliyotokea, ajiuzuru
 
Huyu
mama nahukumiwa kutokana
na dini yake na si kitu kingine......Hizo barua ukiziangalia kwa makini
utagundua walio ziandika hawana akili kabis a na niwatupu
kichwani.....

mtoeni ndalichako ili nafasi achukue mbulula ponda ndio mnachokitaka
tatizo watoto wenu mna wa exploit ubongo kwa kuwafundisha maandishi ya kutoka
kulia kwenda kushoto ni sawa vile na ww mtu mzima ukiangalia
intelligence movie watu wasonga nyie mnalialia tu
 
Aliyeweka uzi huu ni
mchochezi na mfitinishi. yani haibgilii akilini kwa baraza kuu kutaka
kumng'oa ndalichako
ni ngumu sana kutetea mambo haya dini, kabila, jinsi, racial sasa wenzetu akina ponda wanashindana lakini hawatashinda hiki ni kizazi cha ISAKA
 
Siku Dr. Ndalichako ametoka NECTA wafanyakazi wa baraza watafanya sherehe! Walimu wanaosahihisha mitihani watacheka kwamba mnoko katoka.
Mkuu umenena. Huyu mama siku akiondoka NECTA wafanyakazi waliokuwa wamezoea kupata kipato kwa kuuza maswali ya mitihani watafanya bonge ya sherehe maana ni MNOKO sana yaani mianya yote ya wizi wa mitihani kaiziba sasa sijui anategemea wenzake wale wapi hajui kama mbuzi anatakiwa kula kulingana na urefu wa kamba yake?
 

Wacha uongo wewe, wako wazenji waliokuwa wakifaulu with flying colours, wengine wakisup na wengine walikuwa discontinued kama wanafunzi wengine. Kutokana na idadi yao ndogo ukilinganisha na wabara ndiyo maana ulikuwa unaona hawadisco, lakini nawafahamu kabisa waliopigwa disco UDSM, SUA, Muhimbili....

MUONGO MKUBWA WEEEE!
 
Kwani ndalichako hatizami kalenda ya kitaifa hajui kama serikali muajiri wake anatambua sikuku za kiislam.vp yeye apange mitihani yakitaifa ya kidato cha 2 wiki iliyo na idd alhajji? Je wtt wanakaa bording wafanye mitihani au washerehrkee idd? hajui kama anajiongezeea maadui?
 
Mbunge wa Mchinga, Mheshimiwa Said Mohamed Mtanda (CCM) anatajwa kwenye nyaraka hizo kuwa shujaa wa harakati hizo.

Huyu mbunge ana ukaribu sana na Mheshimiwa Dkt. Shukuru Kawambwa.

Kumbe ndio siri ya maneno aliyozungumza bungeni kushutumu baadhi ya watendaji wa NECTA haswa bwana Joseph Mbowe eti ni mchakachuaji wa matokeo ya waislamu!! Poor indeed!

 

Nina wasiwasi mkubwa na ufahamu wenu.....Ndalichako na mitihani ya form two anatoka wapi?
BTW, ulimsikia Kaimu Mufti alipokuwa akitangaza sikukuu kuwa itakuwa jumatano ambapo alikaririwa akisema waislamu wengi hawajui ni lini hivyo maimamu wawatangazie kuwa iddi itakuwa tarehe 16!! Sasa hata angpanga ndalichako hiyo ratiba ungemlaumu ikiwa hata wenye dini yao hawajui sikukuuu lini??

Hii ni kazi kuliko kwenda kazini!
 
Barua ya kwanza imetumia lugha ya kiswahili ila kwenye anwani imeandikwa P. O. BOX 111, barua nyingine kwenye anwani imeandikwa S. L. P 611, TANZANIA, ilo Sandiku la Barua sijui lipo mkoa gani!

Hao ndio wasomi wao wakikaa nyuma ya vipaza sauti walivyopewa saudi arabia kuja kukanusha Yesu si Mungu wakiongea na kuchanganya maneno mawili matatu ya kiingereza basi wanaonekana vipanga kweli kweli...
 
Mama wa watu hana shida yeyote ile,,, chonde chonde wanasiasa tenganishen siasa na utaluma wa mtu.
 
Hapa ndipo tumefikia, Tz,,, kuangalia nani yupo wapi.......tutafika tu....
 
Barua ya kwanza imetumia lugha ya kiswahili ila kwenye anwani imeandikwa P. O. BOX 111, barua nyingine kwenye anwani imeandikwa S. L. P 611, TANZANIA, ilo Sandiku la Barua sijui lipo mkoa gani!

Kitimoto ina maana hujui kusoma kati kati ya mistari au ?S.L.P. 611 ni anuani ya shura ya maimam wakiandikiwa na Baraza la Wakuu wa shule za Kiislamu Tanzania na S.L.P. 111 ni anuani ya baraza kuu la jumuiya na taasisi za Kiislamu wakiandikiwa barua na hao hao Wakuu wa shule za Kiislamu Tanzania.Kuhusu mkoa ni Dar s Salaam. Ushahidi huu ni kweli kwani ni scanned documents.Hii ishu ni hatari kwani harakati kama hizi zitadondosha kiwango cha elimu kuliko matatizo tuliyonayo sasa.Mama Joyce Ndalichako anafanya kazi nzuri na hana masihara na yeyote hata ndugu yake yeye anataka haki na usawa. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…