Umekosa hoja unabwabwJa ovyo tu yaani wewe Pimbi uipangie Israel cha kufanya ni ujinga na Upumbavu kabisa!!Mbona hujasema wanapewa hela na mabwana zake Marekani. Yaani taifa teule badala liwekeze kwenye injili au huduma za kijamii linawekeza kwenye silaha za kuua watu!!
Sasa wakishinda vita si itakua sababu ni silaha na sio uteule wao!!?
Hoja ipo ndio maana umeshindwa kujibu. Twende taratibuUmekosa hoja unabwabwJa ovyo tu yaani wewe Pimbi uipangie Israel cha kufanya ni ujinga na Upumbavu kabisa!!
Mbona nyie mna Mwamposa ila mnanunua silahaHoja ipo ndio maana umeshindwa kujibu. Twende taratibu
1. Israel ni taifa teule
2. Maana yake linasaidiwa na Mungu dhidi ya maadui zake.
3. Hata kwenye biblia walikua wanapigana pungufu, silaha chache, ujuzi mdogo ila walishinda sababu ya Mungu.
4. Kutengeneza masilaha ya maangamizi ili kushinda vita hauoni inakinzana na uteule wake?
5. Yaani wakishinda vita utukufu utakua kwa Mungu au SILAHA zao?
cc MK254 Mlaleo
Lakini pia Israel kama taifa teule ilibidi liongoze kiroho.Umekosa hoja unabwabwJa ovyo tu yaani wewe Pimbi uipangie Israel cha kufanya ni ujinga na Upumbavu kabisa!!
Kwani Tanzania ni taifa teule? Au taifa la Mungu? Si wanasema taifa la Mungu ni Israel pekee!!Mbona nyie mna Mwamposa ila mnanunua silaha
Maswali ya kijinga kabisa nimekuambia huwezi kuipangia nchi yoyote nini ifanye!! Wewe uko Tanzania huwezi kuipangia nchi nini cha kufanya kila nchi Ina vipaumbele vyake!!!Lakini pia Israel kama taifa teule ilibidi liongoze kiroho.
1. Je kwanini haliwekezi kwenye kujenga amani ya dunia? Yaani diplomasia badala ya mabomu?
2. Je kwanini halisambazi injili, lisaidie watu kumjua huyo mungu wao?
3. Kwanini halitatui shida za kimataifa kama njaa, magonjwa n.k hata kipindi cha covid hawakusaidia yoyote?
Uteule wake ni kwenye kuchinja watu tu?
Hoja ipo ndio maana umeshindwa kujibu. Twende taratibu
1. Israel ni taifa teule
2. Maana yake linasaidiwa na Mungu dhidi ya maadui zake.
3. Hata kwenye biblia walikua wanapigana pungufu, silaha chache, ujuzi mdogo ila walishinda sababu ya Mungu.
4. Kutengeneza masilaha ya maangamizi ili kushinda vita hauoni inakinzana na uteule wake?
5. Yaani wakishinda vita utukufu utakua kwa Mungu au SILAHA zao?
cc MK254 Mlaleo