Mpango wa kando

Miss Queen

Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
74
Reaction score
58
Nani wit no strings tukajirushe mpaka tupae during these holidays? Tukirudi kila mtu na lwake tusizeeshane
 
Nani wit no strings tukajirushe mpaka tupae during these holidays? Tukirudi kila mtu na lwake tusizeeshane
Ahaaaaa!! Hiyo nzuri!! Ila unazo maana kama unazo tukajirushe wote lakini katika dutch style. (Kila mtu kuchangia)
 
Hakika humu utampata tu wa kuruka naye, lkn lazima uwe unalipa kimuonekano
 
Nimekumbuka mwaka juzi nilimgonga demu mmoja tulipomaliza uck alinitumia msg akasema ni mwisho na iwe kama hatujuani nikajua utani ikawa kweli
 
Mwaka mpya unakaribia, hii gear ya angani imewahi sana, ilipaswa isubirie next year, Ila wakuu wameeelewa kazi kwao huko inbox..

1000Usd just for holiday , hell gods.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…