Mpango mkakati wa kutufanya masikini ili tutawalike vizuri

Mpango mkakati wa kutufanya masikini ili tutawalike vizuri

Amewashika vibaya wana com huku akiwaaminisha amewakaba wapinzani
Wapinzani maisha yao ndiyo hayo toka enzi kuibiwa kura kupigwa matokeo kipinduliwa.
Iashara as tax exempted zilishikiluwa sana n.a. watu fulani hazipo.Ajira as vimemo hamna, kapunguza vipato cha posho as vikao kwa nipunguze wajumbe.True ni mwenyekiti yeye ni katibu mzee wetu kaamua kiji pumzikia kimykimya.Wale wafadiri wa chama walikuwa wanagawa mabilioni kwenye chama wamenyea ndio mpaka basi zamani ukienda kwa manji n.a. uniform unatoka n.a. fungu sasa hivi atakuitia mwizi.Here wana com wakubwa Wasilla pension.
JAMAA NI NOMA.
 
..ni kweli ...kwa hali Na mambo yanavyofanyika sasa ni kwa namna hii tu unaweza kuyaelezea....hakuna namna nyingine ya kuelezea mambo ya hovyo yanayofanyika tz awamu hii....Na ndio maana nimeanza kuskia tetesi kuwa watu wa ccm wakuu wameanza chinichini kubuni njia ya kumwepuka mhutu 2020....kwa kupitisha uchaguzi wa mgombea urais 2020 badala ya kupitisha tu jina....maana wote wanaisoma namba sasa... Na wanajua wakiendelea nae watajuta zaidi....manazi wa ccm wako mazini sasa....
 
Hivi wewe una akili timamu kweli?
Una kiwango gani cha Elimu?
Umetembelea mataifa mangapi yaliyoendelea na uka explore mambo mazuri?
Ushabiki wa kuropoka tu bora roho ya kusifia ifanye kazi, eti watu walikuwa hawafanyi kazi, wewe ni kichaa kabisa, Tanzania kuna fursa za kazi? Nchi hii ina tofauti ndogo mno na kuzimu, watu tumetembea na kuishi ktk mataifa ambayo unaweza kudhani siyo duniani kabisa.
Tanzania hata kibarua cha kubeba kokoto ni cha kugombea halafu unasema eti watu hawafanyi kazi, nyie wana ccm kuna haja ya kuwapima akili, nadhani mtakuwa na insanity wote.
Nakunga mkono 100% kweli huku watu wanapigana kabisa vibarua vya zege watu wanatafuta wanakosa hii nchi haina fursa hata za kuinua uchumi wa nchi sisi tunashangaa Wana wa Israel walisafiri miaka 40 jagwani umbali mfupi hatujajishangaa sisi miaka 57 ya uhuru bado hatajaona hata ng'ambo ya
maziwa na asali
Hii nchi ya Tanganyika ni tofauti na wanavyoijua
 
Yep! Kitakachofuatia ni watanzania kuanza kuhamia mataifa jirani ili kujiokoa kiuchumi na msidhani eti atatawala miaka 10 tu kuna kila dalili atang'ang'ania madaraka na ataua wengi mno, sina shaka kwamba ndo atakuwa Rais wa mwisho chini ya CCM.
Kwa mbali naona kama mawazo yetu yanaendana
 
Yep! Kitakachofuatia ni watanzania kuanza kuhamia mataifa jirani ili kujiokoa kiuchumi na msidhani eti atatawala miaka 10 tu kuna kila dalili atang'ang'ania madaraka na ataua wengi mno, sina shaka kwamba ndo atakuwa Rais wa mwisho chini ya CCM.
Pigo moja la nyundo msumari umezama, umenena kikubwa.
 
Molembe nchi ya Tanzania ilivyokuwa inajiendesha kijanja janja haya lazima yatokee. Hata angeingia rais mzuri kiasi gani madhali tu angeamua kusimamia sheria na taratibu kwa nguvu zote na kuziba mianya ya ufisadi haya lazima yatokee. Ni muda mrefu kipato cha watanzania wengi kimekuwa kinapatikana kwa kupindisha pindisha vitu na sheria. Na kama ulivyosema wewe kuwa ''Vijana wengi sasa wapo hoi bin taabani kiuchumi, wengi wameacha kufuatilia mambo ya kisiasa na kuhangaika kutafuta mkate wa kila siku.'' hii ni ishara nzuri. Inaonekana kila mtu anaona umuhimu wa kufanya kazi sasa.

Una mawazo yaliyopitwa na wakati kabisa..mtu akisoma hiyo comment yako,atagundua kuwa ‘wewe ni mtu mwenye husuda na mtazamo hasi kimaendeleo’ na pengine huna tija kabisa...hata kikao tu cha familia yenu ‘haufai kutoa walau wazo’....think twice!
 
Sharia ipi anayosimamia?
 
Watanzania tumezoea kuishi kwa ujanja janja hilo halina ubishi. Halafu hatuna nidhamu katika kutumia. Na vipaumbele vyetu kwenye matumizi haviendani na hali halisi. Hasa watu wa mjini.
 
Kuna mpango mkakati wa rais Magufuli kuwafanya wananchi watanzania maskini ili awatawale vizuri, rais anajua fika ni rahisi kumtawala maskini kuliko tajiri, mpango huu wa kuwafanya wananchi masikini umeanza na ni endelevu.

Vijana wengi sasa wapo hoi bin taabani kiuchumi, wengi wameacha kufuatilia mambo ya kisiasa na kuhangaika kutafuta mkate wa kila siku.

Rais anawajua watanzania wana roho mbaya na hupenda kuona wenzao wanashuka kiuchumi, Leo hii kuna watu wanafunga biashara zao na kurudi vijijini lakini wakirudi wamekuwa wakichekwa na kudhihakiwa na wananchi wengine kufurahia kitendo na kuitwa wapiga dili.
Mkakati wake ulianza kwa wakulima hasa kutokana na zuio la kuuza mazao nje matokeo yake bei za mazao hayo zimeshuka na kupelekea hasara kwa wakulima, fikria kama Mahindi yangeruhusiwa kwenda nje wakulima wangepata faida kubwa na kujikwamua.

Mpango mwingine ni kuwabana watumishi, ukweli ni kwamba pesa za kodi hurudi tena kwa wananchi kupitia kwa watumishi na wale wanaotoa huduma serikalini kama wazabuni, sasa mishahara ya watumishi imeshushwa na hivyo kupelekea hata nguvu ya matumizi kupungua na kuathiri biashara nyingi.

Ongezeko kubwa la kodi kwa wafanyabiashara ambalo haliendani na biashara yenyewe, wengi wamefunga biashara zao kutokana na kodi kubwa ambayo inafanya biashara ishindwe kujiendesha.

Nina uhakika kufikia 2025 kila kundi litakuwa limeguswa hata wale ambao wako nae sasa hivi wataguswa (ni suala la muda) baada ya kuleta Umasikini wa kutisha ataanza kufanya maamuzi akijua kuwa hakuna mtu wa kumtisha.

Rais Magufuli ni mjanja sana anajua anachokifanya, ataua elimu, anaendelea kuua uchumi, vyama na baada ya hapo atakuwa anafanya analotaka, kisiasa amefanikiwa na ataendelea kufanikiwa hasa kutokana na mbinu yake kuwajengea hofu wananchi.
Acha upuuzi ww mbna unataka kujifanya unaijua sana hii serikali , unaropoka hovyo , kama ww unajua kuongoza nchi zaidi ya mheshimiwa Rais Magufuli 2020 inakuja anzisha chama chako cha siasa ugombee urais uikomboe nchi tuone ! Swayne!
 
Dada mbona una hasira sana, kipi kinakuhusu hapo mpaka u comment hapa, naona unatafuta nyuzi zangu unacomment kwa matusi na kejeli nini mbaya? Hebu fanya mambo yako au utafute mwanaume akuoe.
 
Back
Top Bottom