Mpango mkakati wa kutufanya masikini ili tutawalike vizuri

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,864
Kuna mpango mkakati wa rais Magufuli kuwafanya wananchi watanzania maskini ili awatawale vizuri, rais anajua fika ni rahisi kumtawala maskini kuliko tajiri, mpango huu wa kuwafanya wananchi masikini umeanza na ni endelevu.

Vijana wengi sasa wapo hoi bin taabani kiuchumi, wengi wameacha kufuatilia mambo ya kisiasa na kuhangaika kutafuta mkate wa kila siku.

Rais anawajua watanzania wana roho mbaya na hupenda kuona wenzao wanashuka kiuchumi, Leo hii kuna watu wanafunga biashara zao na kurudi vijijini lakini wakirudi wamekuwa wakichekwa na kudhihakiwa na wananchi wengine kufurahia kitendo na kuitwa wapiga dili.
Mkakati wake ulianza kwa wakulima hasa kutokana na zuio la kuuza mazao nje matokeo yake bei za mazao hayo zimeshuka na kupelekea hasara kwa wakulima, fikria kama Mahindi yangeruhusiwa kwenda nje wakulima wangepata faida kubwa na kujikwamua.

Mpango mwingine ni kuwabana watumishi, ukweli ni kwamba pesa za kodi hurudi tena kwa wananchi kupitia kwa watumishi na wale wanaotoa huduma serikalini kama wazabuni, sasa mishahara ya watumishi imeshushwa na hivyo kupelekea hata nguvu ya matumizi kupungua na kuathiri biashara nyingi.

Ongezeko kubwa la kodi kwa wafanyabiashara ambalo haliendani na biashara yenyewe, wengi wamefunga biashara zao kutokana na kodi kubwa ambayo inafanya biashara ishindwe kujiendesha.

Nina uhakika kufikia 2025 kila kundi litakuwa limeguswa hata wale ambao wako nae sasa hivi wataguswa (ni suala la muda) baada ya kuleta Umasikini wa kutisha ataanza kufanya maamuzi akijua kuwa hakuna mtu wa kumtisha.

Rais Magufuli ni mjanja sana anajua anachokifanya, ataua elimu, anaendelea kuua uchumi, vyama na baada ya hapo atakuwa anafanya analotaka, kisiasa amefanikiwa na ataendelea kufanikiwa hasa kutokana na mbinu yake kuwajengea hofu wananchi.
 
Molembe nchi ya Tanzania ilivyokuwa inajiendesha kijanja janja haya lazima yatokee. Hata angeingia rais mzuri kiasi gani madhali tu angeamua kusimamia sheria na taratibu kwa nguvu zote na kuziba mianya ya ufisadi haya lazima yatokee. Ni muda mrefu kipato cha watanzania wengi kimekuwa kinapatikana kwa kupindisha pindisha vitu na sheria. Na kama ulivyosema wewe kuwa ''Vijana wengi sasa wapo hoi bin taabani kiuchumi, wengi wameacha kufuatilia mambo ya kisiasa na kuhangaika kutafuta mkate wa kila siku.'' hii ni ishara nzuri. Inaonekana kila mtu anaona umuhimu wa kufanya kazi sasa.
 
1.5tr zetu zi wapi?
tuanze na hapo kwanza.
 
ameua private sector, anaamini private sector ikikua uchumi wa MTU mmoja mmoja utakuwa, watu kwenye uchumi mzuri na elimu nzuri hawawezi kubaliana na siasa za kipumbavu za Ccm.

pia wanaamini nguvu kubwa ya opposition inatokana na watu wengi kuinuka kiuchumi wakati wa JK,

kuna Sikh hata wale walio juu wataathirika
 
mkuu siyo kweli tumeshuhudia serikali ikiyadhoofisha mabenki, pia serikali imepiga marufuku idara, taasisi, mashirika ya umma kufanya biashara na sector binafsi, mfanao "maxmalipo"

kwa utaratibu huu mbona ufisadi utakuwa mkubwa kuliko huko nyuma?
 
Mkuu kwanini unalazimisha serikali itumie huduma ya maxmalipo wakati ni gharama kwake? Yaani kama kuna njia mbadala amabayo ni rahisi zaidi wasiitumie ili wandelee tu na maxmalipo? Ndiyo kampuni hizi hizi nilizokuwa nasema zilianzishwa kijanja janja kwa malengo ya kupiga ''fedha za bure'' za walipa kodi. Japo ni kweli kuna services nyingi ambazo serikali inaweza kuziacha zifanywe na kampuni binafsi lakini pale ambapo serikali inaweza kuzifanya na kuokoa fedha na ifanye.
 
Sasa kama kila kitu serikali itafanya huoni kuwa sekta binafsi ambazo zinaajiri mamia ya watanzania zitakufa, zile kodi zinazokusanywa zitarudije kwa wananchi kama kila kitu serikali itahusika.
 
mkuu siyo kweli tumeshuhudia serikali ikiyadhoofisha mabenki, pia serikali imepiga marufuku idara, taasisi, mashirika ya umma kufanya biashara na sector binafsi, mfanao "maxmalipo"

kwa utaratibu huu mbona ufisadi utakuwa mkubwa kuliko huko nyuma?
Kifuatacho ni kuanguka na kushindwa kwa taasisi nyingi zikiwepo za sekta binafsi, na baada ya hapo unajua kitakachotokea Mkuu?
 
ameua private sector, anaamini private sector ikikua uchumi wa MTU mmoja mmoja utakuwa, watu kwenye uchumi mzuri na elimu nzuri hawawezi kubaliana na siasa za kipumbavu za Ccm.

pia wanaamini nguvu kubwa ya opposition inatokana na watu wengi kuinuka kiuchumi wakati wa JK,

kuna Sikh hata wale walio juu wataathirika
Sure
 
Molembe nchi ya Tanzania ilivyokuwa inajiendesha kijanja janja haya lazima yatokee. Hata angeingia rais mzuri kiasi gani madhali tu angeamua kusimamia sheria na taratibu kwa nguvu zote na kuziba mianya ya ufisadi haya lazima yatokee. Ni muda mrefu kipato cha watanzania wengi kimekuwa kinapatikana kwa kupindisha pindisha vitu na sheria. Na kama ulivyosema wewe kuwa ''Vijana wengi sasa wapo hoi bin taabani kiuchumi, wengi wameacha kufuatilia mambo ya kisiasa na kuhangaika kutafuta mkate wa kila siku.'' hii ni ishara nzuri. Inaonekana kila mtu anaona umuhimu wa kufanya kazi sasa.
Hivi wewe una akili timamu kweli?
Una kiwango gani cha Elimu?
Umetembelea mataifa mangapi yaliyoendelea na uka explore mambo mazuri?
Ushabiki wa kuropoka tu bora roho ya kusifia ifanye kazi, eti watu walikuwa hawafanyi kazi, wewe ni kichaa kabisa, Tanzania kuna fursa za kazi? Nchi hii ina tofauti ndogo mno na kuzimu, watu tumetembea na kuishi ktk mataifa ambayo unaweza kudhani siyo duniani kabisa.
Tanzania hata kibarua cha kubeba kokoto ni cha kugombea halafu unasema eti watu hawafanyi kazi, nyie wana ccm kuna haja ya kuwapima akili, nadhani mtakuwa na insanity wote.
 
Sasa kama kila kitu serikali itafanya huoni kuwa sekta binafsi ambazo zinaajiri mamia ya watanzania zitakufa, zile kodi zinazokusanywa zitarudije kwa wananchi kama kila kitu serikali itahusika.
Huyo ni mjinga kabisa hajui lolote, lengo la Magufuli ni kuifanya Tanzania iwe Kama Cuba, Cuba hakuna matajiri, kila kitu ni serikali tu.
 
Kifuatacho ni kuanguka na kushindwa kwa taasisi nyingi zikiwepo za sekta binafsi, na baada ya hapo unajua kitakachotokea Mkuu?
Yep! Kitakachofuatia ni watanzania kuanza kuhamia mataifa jirani ili kujiokoa kiuchumi na msidhani eti atatawala miaka 10 tu kuna kila dalili atang'ang'ania madaraka na ataua wengi mno, sina shaka kwamba ndo atakuwa Rais wa mwisho chini ya CCM.
 
Sector binafsi inapokua,watu wanapata ajira,
makampuni binafsi yatalipa kodi,
wafanyakazi watalipa P.A.Y.E na pia michango yao mfano NSSF itakuwa ni kwa matrilion kama utawekwa usimamizi mzuri,serikali inakuwa na mapato ya kutosha,
serikali kuhodhi kila kitu,mapato yanashuka,mfano sidhani kama ATCL,TTCL,TANESCO etc yanalipa kodi stahiki
 
Sawa tu, wacha afanye anavyotaka ili watanzania wapate akili waache kushadadia upumbavu na udaku. Yeye si ndo rais?

Pia, wacha na wanaomzunguka waendelee kumpigia makofi wakidhani atalinda interests zao milele.

Ipo siku isiyo na jina watz tutaongea lugha moja.

Magufuli endelea kuchapa kazi, ipo siku watanzania watakuelewa tu.
 
"Watanzania wana roho mbaya,hupenda kuona wenzao wanaporomoka kiuchumi"hapa umechemka ndugu!hiyo ni hulka ya binadamu na sio wote,hata kwa watoto wa familia moja,ikitokea mmoja wenu ana pesa ya kutosha kuliko wenzie,lazima baadhi mtaona wivu,na kijicho,
Kuhusu kuaribu elimu,sio Maghufuri tu,hapa ni suala LA Sera za nchi,hata kipindi cha Kikwete,turishuhudia alama za ufahuru zina shushwa,ili ionekane watoto wengi wamepasi mtiani,
Yapo madudu mengi Maghu anafanya,lakini umaskini wa nchi hii,tatizo ni mfumo na Ccm
 
Kuna mpango mkakati wa rais Magufuli kuwafanya wananchi watanzania maskini ili awatawale vizuri, rais anajua fika ni rahisi kumtawala maskini kuliko tajiri, mpango huu wa kuwafanya wananchi masikini umeanza na ni endelevu.

Vijana wengi sasa wapo hoi bin taabani kiuchumi, wengi wameacha kufuatilia mambo ya kisiasa na kuhangaika kutafuta mkate wa kila siku.

Rais anawajua watanzania wana roho mbaya na hupenda kuona wenzao wanashuka kiuchumi, Leo hii kuna watu wanafunga biashara zao na kurudi vijijini lakini wakirudi wamekuwa wakichekwa na kudhihakiwa na wananchi wengine kufurahia kitendo na kuitwa wapiga dili.
Mkakati wake ulianza kwa wakulima hasa kutokana na zuio la kuuza mazao nje matokeo yake bei za mazao hayo zimeshuka na kupelekea hasara kwa wakulima, fikria kama Mahindi yangeruhusiwa kwenda nje wakulima wangepata faida kubwa na kujikwamua.

Mpango mwingine ni kuwabana watumishi, ukweli ni kwamba pesa za kodi hurudi tena kwa wananchi kupitia kwa watumishi na wale wanaotoa huduma serikalini kama wazabuni, sasa mishahara ya watumishi imeshushwa na hivyo kupelekea hata nguvu ya matumizi kupungua na kuathiri biashara nyingi.

Ongezeko kubwa la kodi kwa wafanyabiashara ambalo haliendani na biashara yenyewe, wengi wamefunga biashara zao kutokana na kodi kubwa ambayo inafanya biashara ishindwe kujiendesha.

Nina uhakika kufikia 2025 kila kundi litakuwa limeguswa hata wale ambao wako nae sasa hivi wataguswa (ni suala la muda) baada ya kuleta Umasikini wa kutisha ataanza kufanya maamuzi akijua kuwa hakuna mtu wa kumtisha.

Rais Magufuli ni mjanja sana anajua anachokifanya, ataua elimu, anaendelea kuua uchumi, vyama na baada ya hapo atakuwa anafanya analotaka, kisiasa amefanikiwa na ataendelea kufanikiwa hasa kutokana na mbinu yake kuwajengea hofu wananchi.

Ukiondoa kipindi cha Mzee Ruksa baada ya Baba wa taifa Mwl Nyerere, watu walizoea madili, vyeti feki, wasomi na watalaamu kunyanyaswa, viongozi waliokuwa madarakani walikuwa wana filisi nchi kwa mikataba mibovu, mfanyakazi yeyote mwadilifu walikuwa wanahamishwa kwa makusudi, kufukuzwa kazi, kustaafishwa kabla ya wakati na kuwaacha wenye vyeti feki na sifa ndogo za kisomo, imagine mfanyakazi ana shahada tatu au Masters mbili au Post Graduate lakini hustaafishwa na kuwaacha wa darasa la saba, kwa kidato cha nne au sita!!! Yaani vilaza waliachwa ili jamaa waweze piga madili katika mashirika ya umma na serikalini!! Ushahidi upo! Sasa Rais Dr Magufuli kagundua yote haya na anayapiga vita kali! kudos Rais Dr Magufuli, chapa kazi, tunakumbuka enzi za Mwalimu Nyerere.
 
Back
Top Bottom