Mbona wanapenda rangi neutral. Umasikini ndiyo unatufanya tupende kuweka vitu mpaka nyumba inakuwa na makolokolo.
Nyumbani kwetu mpaka sahani zilionunuliwa kwenye ubatizo wangu bado zipo

Nyumbani kwetu mpaka sahani zilizonunuliwa kwenye ubatizo wangu bado zipo
Sasa mama hivi viatu vyangu kauka nikuvae nawekaje kwenye dubwasha kubwa hivyo? Au naweka kila kilichomo chumbani? Maana vinaenea vyote kasoro kitanda🙆🙆🙆🙆