Mpangilio wa Mikoa kwa ubora wa ufaulu

Mpangilio wa Mikoa kwa ubora wa ufaulu

mwambojoke

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
1,090
Reaction score
653
1.PNG
2.PNG
3.PNG
 
Kagera yetu tunaanza kuelewana sasa.haya twende......
 
Mi najiangalia Mimi mwenyewe na familia yangu ...I'm less concern with ...shule wala mkoa gani haisaidii???
 
Tanga kunani? Yaani ukanda wa pwani ni shida tupu na ukitoa hizi St. utashuhudia Pwani na Dar zitakavyo jumuika na wenzao wa kanda ya pwani (bara na visiwani). Mtwara (Form 2) na Dar (Form 4) zimevuma ndani ya kumi mbovu lakini ukanda wote uko/tuko hoi bin taaban.
 
Back
Top Bottom