[emoji1] [emoji1]Kweli wewe ni FUSO! umewabeba wapangaji wako ukaja kuwamwaga jukwaa la siasa!!
kaka Maisha ni SIASA na ndiyo maana kila nikiwadai wananijibu siasa tupu - ndo nimekuja hapa mnipe ushauri ila sitaki ushauri wa kisiasa.Kweli wewe ni FUSO! umewabeba wapangaji wako ukaja kuwamwaga jukwaa la siasa!!
Usikalili maisha mkuu jambo lake la kodi ni haki yake na halina mahusiano na kesho yakeWavumilie Mkuu huwezi jua kesho yako.
kabisa mkuu tunaomba wape muda au wapunguzie walipe nusu ya bei tu.Na Mimi na wengine humu wenye moyo wa huruma tunaomba uwavumilie,ukiona mkewe amefikia huko ujue 'no more option',wavumilie Mungu atakuepushia vitu ambavyo vingekugharimu pesa kubwa kuliko hiyo,na usifanye kitu kwa mkewe au mtoto wake hata wajipendekeze,najua wapo katika wakati mgumu sana..ASANTE KWA NIABA YAO.
ni kweli kodi ni haki yake lakini kuna kukwama mkuu hali ni ngumuUsikalili maisha mkuu jambo lake la kodi ni haki yake na halina mahusiano na kesho yake
Mkuu. Kimbiza au kama vip tubadirishane sura na akili kwa mda niwanyooshe hao maisha magumu kila mtu anayokaka Maisha ni SIASA na ndiyo maana kila nikiwadai wananijibu siasa tupu - ndo nimekuja hapa mnipe ushauri ila sitaki ushauri wa kisiasa.
Amna bhana. Kitu kama icho kwann kila ujinga au uzembe wa mwanadamu mnamshirikisha munguEndelea kuwavumilia....Mungu aliyewapa ugumu huo wa maisha ndiye aliyesikia kilio chako na ukapata nyumba, huyu Mungu ndiye anayekujaribu sasa akupime imani yako kwake.