Mpangaji wangu hataki kunilipa....Sheria inasemaje??

NISAIDIENI NA MIMI KUANDIKA MKATABA JAMANI HII NDO SAMPO YANGU MKATABA WA MPANGAJI NA MWENE NYUMBA
TAREHE................2O1O

JINA LA MPANGAJI……………………
JINA LA MWENYENYUMBA…………………………………….
MASHART YA NYUMBA 1……………………………..2…………………………….3…………………………4

1)CHUMBA sh.15000
2)umeme sh.5000
Mpangaji; Mimi…………….......bin………………….. nimekubaliana na mkataba huu kwa hiari yangu mwenyewe na kua mpangaji halali wa ……………………………………………………………….
mwenyenyumba ; Mimi……………………….bin……………………… nimekubali kumpangisha ………………………………………..kwa hiari yangu na awe mpangaji wangu halali

clip_image001.gif
sahihi ya mpangaji ………………………………… sahihi ya mwenyenyumba …………………………….

ahahaha...sasa mzee naona unahitaji kujua sheria..
kuna sheria mpya ambayo inatumika sikuhizi..mpangaji ni mtu anayeingia mkataba wa kukaa kwenye nyumba kwa malipo na muda unaofahamika...sheria sikuhizi inatambua nyumba kama biashara na ndio maana wapangaji wa NHC walipandishiwa kodi na kutolewa kwenye nyumba walizoshindwa kulipa kodi...mkataba unapoisha sikuhizi hakuna notice..naona umekuwa mstaarabu sana kwa kutumia mkataba wa miaka mi-3 nyuma wakati huo magufuli akiwa waziri wa nyumba na makazi...

HITIMISHO....mtoe huyo mpangaji wako kwa nguvu na mpeleke mahakamani kwa kukaa kwenye nyumba yako bila kulipia kodi kwa kipindi chote mkataba ulipoisha ,...na unaweza pia kuzuia vyombo vyake mpaka atapolipa kodi...na hutakiwi tena kutoa notice za kizamani za mieziu mi3...mkataba ni mkataba kama mingine habari za notice zilikuwa za kijima enzi za nyerere...sahivi sie mabepari....mpige nje then yeye ndio aende polisi na mahakamani kushtaki

kaka, pamoja na ushauri wako, Huyo mwenye nyumba analipa kodi serikalini pamoja na kupangisha?, manake kama nyumba siku hizi zinalipiwa kodi ni wenye nyumba wachache sana wanaolipa kodi serikalini. hata siku moja hawatoi risti wakichukua hela ya kodi.

Labda TRA waanze sasa kutambua nyumba zinazopangisha wazitoze kodi.
 
hello g.t,
Huu ni mwezi wa tano sasa umepita, mpangaji wangu hataki kunilipa,nimempa notice, lakini bado anaendelea kukaa,nimejaribu kufatilia sheria inasemaje, kuna watu wameniambia niende mahakamani, kuna wengine wameniambia sitakiwi kwenda mahakamani, naweza kumtoa kwa nguvu, au kutumia madalali tu. msaada wenu wana jf, kama kuna watu wana jibu sahihi watuelimishe

Kwanza pole!
Pia elezea amepenga maeneo gani?
Mkoa gani?
Mwaka gani?
Halafu mkataba huwepo mashahidi upande wa mwenye mali...na upande mwingine.
N.B
Ungeweka huo mkataba hapa wajuzi wauone.
Utapata ushauri mzuri humu kwa GT kama ulivyotanguliza mwenyewe.
 
Back
Top Bottom