Mpangaji mwenzangu ni mtu mbaya

Kwi kwi kwi kwi kwi LOL!...Eti "najianda na kuziziba njia zote zitakazonifanya nipelekwe lupango." nalog off :majani7::majani7::majani7:


Dah! kweli nimebugi ila niitaendelea kuangalia ni jinsi gani naweza kumaliza naye au ndio wewe nini mpangaji mwenzangu?
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
huoni aibu kutuambia unawapenz 2 peleka kule upuuzi huu

mbona ni jambo la kawaida au mwenzangu unaishi sayari ipi? halafu nikipeleka upuuzi kwenye jukwaa la siasa watairudisha tena hapa kwa maana ndio mahala pake.Nalog off
 
Story doesn't sound real..kizuri kula na mpangaji mwenzio..
subiri yakukute ndio utajua ni real ama vipi,ah wapi siwezi kula naye itambidi atafute wake.Nalog off
 
[FONT=century
gothic]Kwi kwi kwi kwi kwi LOL!...Eti "najianda na kuziziba njia
zote zitakazonifanya nipelekwe lupango." nalog off
:majani7::majani7::majani7:
[/FONT]


ni kweli mkuu kwa kuwa si unajua nataka kufanya kitu mbaya.Nalog off
 
Last edited by a moderator:

santeee mkuu kwa kunifumbua macho mi naona bora niendelee kufikiri kuhusu hili suala.Nalog off
 
hao wachumba zako mapacha kiasi cha mpangaji mwenzako kuwachanganya namna hiyo.....huenda jirani yako hapendezwi na tabia yako akaamua kuharibu huna haja ya kujiharibia maisha jirekebishe
 
Aisee. Naona wewe ndie uliyejichanganya hapo.

Ongea na jirani yako, mwambie akane kauli kuwa jana aliyekuja ni mpenzi wako. Akane kauli hiyo mbele ya Joyce..


Pia tulizana. Wapenzi wengi sio mpango next time utajichanganya zaidi.
 
hao wachumba zako
mapacha kiasi cha mpangaji mwenzako kuwachanganya namna hiyo.....huenda
jirani yako hapendezwi na tabia yako akaamua kuharibu huna haja ya
kujiharibia maisha jirekebishe

huyu bila shaka ana lake jambo tu ila nitatumia mbinu zangu za kijasusi na nitalitambua.Nalog off
 
Wapenzi wawili!!!!!!!!!!!
Sina la kuchangia utajua mwenyewe na majirani zako
 
Aisee. Naona wewe ndie uliyejichanganya hapo.

Ongea na jirani yako, mwambie akane kauli kuwa jana aliyekuja ni mpenzi wako. Akane kauli hiyo mbele ya Joyce..


Pia tulizana. Wapenzi wengi sio mpango next time utajichanganya zaidi.

sijaonana naye tokea siku hii aliyoniharibia kwa Joyce ili nimwambie afanye hivyo ulivyoniambia. Napata wakati mgumu sana kumchagua mmoja kati ya hawa wawili kwa kweli.Nalog off
 
sijaonana naye tokea siku hii aliyoniharibia kwa Joyce ili nimwambie afanye hivyo ulivyoniambia. Napata wakati mgumu sana kumchagua mmoja kati ya hawa wawili kwa kweli.Nalog off

Pole sana ndugu. Inaonekana amejishtukia kuwa amekuharibia mahusiano yako. Ataonekana tu. Kama mnakaa pamoja we ngoja kama wiki moja ipite atarudi then upange nae huo mpango.
 
Na akili zako zooote!? Nisije nikakutukana sasa
 
Pole sana ndugu. Inaonekana
amejishtukia kuwa amekuharibia mahusiano yako. Ataonekana tu. Kama
mnakaa pamoja we ngoja kama wiki moja ipite atarudi then upange nae huo
mpango.

santeee mkuu,ndio nipo kwenye subira za kumsubiri.Nalog off
 
Kumbe naweza kuwa na wachumba wawili e! Ngoja nianze msako wa pili....
 

Ila ukumbuke na wewe kulegesha risasi kwenye tundu la sikio lako ili kesi iishe. Hatutaki gharama za kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…