Umejuaje kwamba unalogwa na jirani yako ndo mlozi wako? Wawezakuta mawazo yako kichwani ndo yanafanya kichwa kiume!!Habari za asbh wana JF,
Napenda kuwaambia kuwa kuishi na mpangaji mwenzio alafu anakuonea wivu wa kimaendeleo ni shidaaa. Wiki 2 mbili sasa kichwa hakiachi kuuma, nimekwenda Hospital mara kadhaa bt sikupata nafuu ndipo nilipoona nijaribu kwa Sanonga(mganga wa kienyeji) ndipo aliponieleza kuwa mpangaji mwenzako anakuroga coz mimi nafanikiwa na mambo yangu.
Sasa je nimfanye nini huyu mpangaji mwenzangu? Au na mimi nimmalize kabisa?
Ukimtumainia mungu utaogopwa na kila kitu,bali usipomtumainia mungu utaogopa kila kitu.Habari za asbh wana JF,
Napenda kuwaambia kuwa kuishi na mpangaji mwenzio alafu anakuonea wivu wa kimaendeleo ni shidaaa. Wiki 2 mbili sasa kichwa hakiachi kuuma, nimekwenda Hospital mara kadhaa bt sikupata nafuu ndipo nilipoona nijaribu kwa Sanonga(mganga wa kienyeji) ndipo aliponieleza kuwa mpangaji mwenzako anakuroga coz mimi nafanikiwa na mambo yangu.
Sasa je nimfanye nini huyu mpangaji mwenzangu? Au na mimi nimmalize kabisa?
Wameniambia kuwa sina Malaria pia sina ugonjwa wowote ambao umeoneka na cna matatizo ya macho ambayo pia yaweza kachangia maumivu ya kichwa.Hospital wamekuambia tatizo ni nini kuhusu hicho kichwa kutopona??
Punguza mawazoWameniambia kuwa sina Malaria pia sina ugonjwa wowote ambao umeoneka na cna matatizo ya macho ambayo pia yaweza kachangia maumivu ya kichwa.
Hapana kaka mimi nalogwa tu na huyu jamaa cjui nifanye nini coz anataka kunirudisha nyuma kimaendeleoPunguza mawazo
Hama basi hapo.! Na umrudie Mungu kwa imani yako apambane Na hizo nguvu za kichawi.!Hapana kaka mimi nalogwa tu na huyu jamaa cjui nifanye nini coz anataka kunirudisha nyuma kimaendeleo
Yap may beHama basi hapo.! Na umrudie Mungu kwa imani yako apambane Na hizo nguvu za kichawi.!
****Habari za asbh wana JF,
Napenda kuwaambia kuwa kuishi na mpangaji mwenzio alafu anakuonea wivu wa kimaendeleo ni shidaaa. Wiki 2 mbili sasa kichwa hakiachi kuuma, nimekwenda Hospital mara kadhaa bt sikupata nafuu ndipo nilipoona nijaribu kwa Sanonga(mganga wa kienyeji) ndipo aliponieleza kuwa mpangaji mwenzako anakuroga coz mimi nafanikiwa na mambo yangu.
Sasa je nimfanye nini huyu mpangaji mwenzangu? Au na mimi nimmalize kabisa?
Hapana kaka mimi nalogwa tu na huyu jamaa cjui nifanye nini coz anataka kunirudisha nyuma kimaendeleo
Tatizo huo upara ozone layer imepata hitilafu....lolWameniambia kuwa sina Malaria pia sina ugonjwa wowote ambao umeoneka na cna matatizo ya macho ambayo pia yaweza kachangia maumivu ya kichwa.
Tatizo huo upara ozone layer imepata hitilafu....lol