Matingi litikiti
Member
- Apr 26, 2016
- 64
- 25
Ni kweli kaka@mlatinoh da king coz huyu mapangaji kakutwa na Mke wangu akimwaga dawa nyumba mzima wakati yye c mama wala baba mwenye nyumba kusema anazindikaoh, yawezekana ni ukweli lakini 90% ya waganga ni waongo sasa sjui ni kwa visibitisho gan umemwamini huyo mganga, unaweza mchukia jirani yako kumbe ni wew umekosa umakini na mbinu za uhakika katka mambo yako, fanya uchunguzi zaid.
sasa nadhani ujaribu kumtag mshana jr aje akupe mwanga juu ya hili, anaufaham atakusaidia kwa lolote.Ni kweli kaka@mlatinoh da king coz huyu mapangaji kakutwa na Mke wangu akimwaga dawa nyumba mzima wakati yye c mama wala baba mwenye nyumba kusema anazindika
DarHii nayo imetokea mkoagani?
Hivi kwanini waafrika tunaamini sana mambo ya uchawi.Habari za asbh wana JF,
Napenda kuwaambia kuwa kuishi na mpangaji mwenzio alafu anakuonea wivu wa kimaendeleo ni shidaaa. Wiki 2 mbili sasa kichwa hakiachi kuuma, nimekwenda Hospital mara kadhaa bt sikupata nafuu ndipo nilipoona nijaribu kwa Sanonga(mganga wa kienyeji) ndipo aliponieleza kuwa mpangaji mwenzako anakuroga coz mimi nafanikiwa na mambo yangu.
Sasa je nimfanye nini huyu mpangaji mwenzangu? Au na mimi nimmalize kabisa?
Kitongoji kipi au mtaa gani?
Na wewe mrogeHabari za asbh wana JF,