Mpangaji mwenzangu anamtongoza mke wangu kwenye simu yake bila kujua alikuwa anachati na mimi

Kama jamaa alikuja 10usik mzee ndo ulikuwa mchezo wake uyo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwani mke akitongozwa ni wewe ndio umetongozwa? Wewe vipi? Je kama ni mke wako ndio alimuanza jamaa. Mwache mwanamke aliwe bhana acha wivu wa kijinga. Ila siku nyingine mkanye mkeo.

Ila fanya hivi msamehe jamaa maana hata huyo balozi mwenyewe naye anakulaga za wenzake tu. Ila kama wewe hujawahi tongoza mwambie jamaa akulipe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ujinga balozi wa nin...mfate jamaa mwambie tabia unayotaka kufanya sio nzuri na sipendi nakuomba acha mara moja...then ondoka unaenda kwa balozi na kama balozi alishamtongoza au kula kabsa...kua mwanaume acha ukijana..
Kabla ya mkasa wa Jana tuanze na stori fupi. Wiki ilopita nilisafiri safari ya siku 4 nilirudi usiku baada ya siku 4.. Sa 10 usiku nasikia hodi. Wife nikamtuliza nikaenda kidume Ile nafungua jamaa alishtuka eti akija kuchaji simu.. Nikapotezea

Jana usiku nilikua nimetoka kuoga Ile nasubiri kula nimeshika simu ya wife Mara msg ikaingia ya jamaa ninaemzungumzia.. Ikabidi nichati nae kumbe jamaa alikuja mzima mzima anatongoza.. Mara ooh hakuna kama wewe nakuwazia naomba uwe wangu..

Nikaenda kumpa simu wife akampigia jamaa na kumwambia Kua ulikua unachat na mme wangu.

Jamaa asubui ya Leo ameamka mapema ananikimbia.. Nimeamua kwenda kwa balozi majumba 10 ili Leo usiku sa 2 jamaa awekwe kikao ili siku akirudia tena tugawane majumba ya serikali..



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom