Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,364
- 1,078
Kabla ya mkasa wa Jana tuanze na stori fupi. Wiki ilopita nilisafiri safari ya siku 4 nilirudi usiku baada ya siku 4.. Sa 10 usiku nasikia hodi. Wife nikamtuliza nikaenda kidume Ile nafungua jamaa alishtuka eti akija kuchaji simu.. Nikapotezea
Jana usiku nilikua nimetoka kuoga Ile nasubiri kula nimeshika simu ya wife Mara msg ikaingia ya jamaa ninaemzungumzia.. Ikabidi nichati nae kumbe jamaa alikuja mzima mzima anatongoza.. Mara ooh hakuna kama wewe nakuwazia naomba uwe wangu..
Nikaenda kumpa simu wife akampigia jamaa na kumwambia Kua ulikua unachat na mme wangu.
Jamaa asubui ya Leo ameamka mapema ananikimbia.. Nimeamua kwenda kwa balozi majumba 10 ili Leo usiku sa 2 jamaa awekwe kikao ili siku akirudia tena tugawane majumba ya serikali..
Sent using Jamii Forums mobile app