Mpangaji mwenzangu anahisi natembea na mkewe kutokana na mazoea

Inaonekana hio family inastruggle financially,ila mwanaume anapambana kiume akitaka yasijulikane nje sema mwisho wa siku wife anashindwa kuvumilia especially anavyomuona dogo anashinda njaa,wala usihame ila tu ongea na huyo mwanamke atengeneze mambo ya nyumba yake ili akuepushie wewe dhahma
 
emoji3516.png

POLE SANA MKUU!!!

NAKUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU,
UPATE MAKAZI YENYE UHURU AMBAYO HAYATAKUPA BUGHUDHA KAMA HIZO.
Amen Mkuu....!! Shukrani nilishafanikiwa kuhama!...Namshukuru Mwenyezi Mungu
 
M naona uwe na mipaka unaweza ona ni kitu cha kijinga lakini katika mtazamo mwingine unakosea nadhani mtoto haikuwa shida ila sasa kuanza kukopana hela ndo kuvuka mipaka, mi naona usijiingize kwenye matatizo yasiyo na ulazima kata mazoea(kaa mbali na nke wa mtu)swala la maisha magumu achana nalo,waache wapambane na hali yao kama huyo kaka asingekuwa na uwezo asingeoa(yaani hata kama wanakula udongo achana nao kabisa huruma za kijinga zitakuponza)
 
Inaonekana hio family inastruggle financially,ila mwanaume anapambana kiume akitaka yasijulikane nje sema mwisho wa siku wife anashindwa kuvumilia especially anavyomuona dogo anashinda njaa,wala usihame ila tu ongea na huyo mwanamke atengeneze mambo ya nyumba yake ili akuepushie wewe dhahma
Ndugu yangu wanawake wengine sio wavumilivu(hawaridhiki,)unakuta anaachiwa elfu tatu ye anataka atumie elfu tano,hataki kuendana na hali yaani kikubwa wapambane na hali yao ndo maana wengine wanaoa wakiwa na miaka 30 maana anaona bado hajawa na uwezo wa kuwa na familia sasa kidume kaoa ana 25 means anaimudu familia na nna uhakika shida ipo kwa mwanamke,ok hayo mazoea waloanzisha mwisho wake si kuliwa kimasihara?
 
Huo nao mtihani
Sema kama anaachiwa ila haridhiki hapo ndo shida ilipo ila kama hapewi kabisa shida ndo itakua kubwa zaidi
 
Pole Mkuu...ila ni mtoto mdogo huyo hana shida,Tatzo familia.

Ila kingine mazoea kwenye nyumba za kupanga mnayatoa wapi?

Mimi ilikuwaga ....Habari....Habari

tukisogea sana Mambo yanaendaje ...Salama

Biashara imeisha ndo mpaka jioni hivyo...weekend ni kulala tuu
 
Me bad

Me bado sijaoa mzee
Ndio maana basi mkuu.

Siku nyingine jizoeshe sana kuzoeana na mwanaume mwenzio na sio mkewe. Huyo mjuba mnampa unyonge sana. Hakuna kitu kibaya kama mtu hana hela alafu kuna mwanaume mwingine anakulishia mtoto wako na kuwa close na mkeo! Ingekuwa jamaa ana hela believe me angekuwa confident na wala asingejali. Chukua nafasi kama mwanaume uzoeane na mwanaume mwenzio
 
Pamoja kaka 🙏
 
Ndugu yangu wanawake wengine sio wavumilivu(hawaridhiki,)unakuta anaachiwa elfu tatu ye anataka atumie elfu tano,hataki kuendana na hali yaani kikubwa wapambane na hali yao ndo maana wengine wanaoa wakiwa na miaka 30 maana anaona bado hajawa na uwezo wa kuwa na familia sasa kidume kaoa ana 25 means anaimudu familia na nna uhakika shida ipo kwa mwanamke,ok hayo mazoea waloanzisha mwisho wake si kuliwa kimasihara?
Exactly, swala la uvumilivu na appreciation ya mume linawashinda wanawake wengi hasa wenye umri huo wa miaka ishirini na, wengi wanakuwa na wenge na tamaa ya mambo makubwa, kuvaa mitindo, kusuka, gari. Wanajikuta wanajilengesha kwa wanaume wengine ambao wanaona mambo yao yamekaa poa, ndugu yangu mazoea ya mwanaume na mwanamke ni sawa sawa na mazoea ya fisi na swala, muda wowote swala anaweza kuliwa na huyo mume wake analijua hilo ndo maana amekuwa mkali, kwa hiyo endelea na hayo mazoea at your own risk......
 
Back
Top Bottom