Omuzirambogo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 685
- 753
Unamshikisha ukuta uone kama nalo atalisema!Bora wewe huyo ni wakike me nilikutana na wahivyo halafu mbaya ni wakiume
Unamshikisha ukuta uone kama nalo atalisema!Bora wewe huyo ni wakike me nilikutana na wahivyo halafu mbaya ni wakiume
Unamshikisha ukuta uone kama nalo atalisema!
sishawishi bali nakomesha tabia mbayaAcha kushawishi matumizi ya mqoundue
Hii nzuri mkuu.. vip salamu zake nipokee??dawa ya huyo ni kumpotezea tu, atajidharau
ukisema uongee, hutomuweza
ukisema umtongoze, atakuharibia zaidi kwa huyo demu wako
dawa pekee iliyobaki ni kutojenga mazoea nae na kumpotezea tu
hata mimi lipo limama la kipalestina/kimachame hapa geto, limegombana na wapangaji wote kasoro mimi tu
hua nalipotezea tu.
pokea salamu, na usioneshe chuki kwake mkuu.Hii nzuri mkuu.. vip salamu zake nipokee??
[emoji106][emoji106][emoji106]Poa mkuu ngoja nifanye hivyoo...Maana hata mama mwenye nyumba kamchoka..Kutoa pesa za umeme msumbufu...kila mtu anagombana nae yeye..shida tu
Ngoja mods wakusaidie cha kufanya😀Aisee kuishi na watu kazi sana.. Kuna mpangaji mwenzangu ni mdada lakini ni mmbea balaaa yani linasema mambo ya Kijinga sana kwa mama mwenye nyumba afu ubaya mama mwenye Nyumba ananiambia mpaka nashangaa.. Vipi ushawahi ishi na mpangaji mmbea?? Nifanyaje kuhusu hili lidada...??
Tumia akili sana kumtongoza akikubali anza kumlaAisee kuishi na watu kazi sana.. Kuna mpangaji mwenzangu ni mdada lakini ni mmbea balaaa yani linasema mambo ya Kijinga sana kwa mama mwenye nyumba afu ubaya mama mwenye Nyumba ananiambia mpaka nashangaa.. Vipi ushawahi ishi na mpangaji mmbea?? Nifanyaje kuhusu hili lidada...??