She loves Me
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 809
- 942
Mi napenda wapangaji kama hao, wananisaidia sana. Kwa mfano mke wangu alikuwa akiwahonga wanaume chakula wakanitaarifu nikadhibiti hilo. Akiingia mgeni yoyote lazma taarifa zifke fasta. Wambea ni watu wazuri sanaaa hasa kwa ss watu ambao tuko bize na wake zetu ni Vimeo.
Nashauri: Wambea wapige kazi kwa weledi kwan mchango wao ni mkumbwa sana kwenye jamii yetu
NB: ANAECHUKIA UMBEA ANA MAKANDOKANDO YA UHALIFU
Nashauri: Wambea wapige kazi kwa weledi kwan mchango wao ni mkumbwa sana kwenye jamii yetu
NB: ANAECHUKIA UMBEA ANA MAKANDOKANDO YA UHALIFU