Hizo sehemu zote hazifai hata kidogoKuna jamaa yangu kapata kazi kwenye private coy flani,kaambiwa achague kati ya singida au mpanda wapi anataka awe reallocated.binafsi nimeishi singida ila mpanda sipajui coz sijawahi kufika.
Ungekua wewe ungemshauri huyu jamaa aende wapi kati ya singida na mpanda?
Toa sababuHizo sehemu zote hazifai hata kidogo
Kwamba bora kibaha 🤣Hizo sehemu zote hazifai hata kidogo
anda pako safi sana aiseeKuna jamaa yangu kapata kazi kwenye private coy flani,kaambiwa achague kati ya Singida au Mpanda wapi anataka awe reallocated. Binafsi nimeishi singida ila mpanda sipajui coz sijawahi kufika.
Ungekua wewe ungemshauri huyu jamaa aende wapi kati ya Singida na Mpanda?
maisha hayana kutoboa haraka tulia plan execute then rudia...Kuna jamaa yangu kapata kazi kwenye private coy flani,kaambiwa achague kati ya Singida au Mpanda wapi anataka awe reallocated. Binafsi nimeishi singida ila mpanda sipajui coz sijawahi kufika.
Ungekua wewe ungemshauri huyu jamaa aende wapi kati ya Singida na Mpanda?
Ni sawa na Kibaha au ChalinzeKwamba bora kibaha 🤣
Watakusaidia nini sasa hao?SINGIDA. KUNA MADEMU WAKALI
KUPATA WATOTO AU WEWE UNAPATAJE WATOTO?Watakusaidia nini sasa hao?
Mtakula watoto?KUPATA WATOTO AU WEWE UNAPATAJE WATOTO?