sultanwjps
Member
- Jun 27, 2010
- 14
- 0
Siku moja mtu mmoja jijini Dar aliendesha baiskeli usiku bila ya kua na taa, kwa bahati alikutana na askari mgambo na akamsimamisha kwakua hakua na taa. sasa maongezi yao yalikua kama ifuatavyo :
Mgambo : Jee mzee wapi Taa.
kijana aliepanda baiskeli nae akajibu : Ndio napitaa. na akaendelea na safari.
Mgambo : Simama
Kijana akajibu : Ndio ni baba tena anaendelea na safari
mgambo : Shuka chini.
Kijana akajibu : Blangeti juu na huyoo anayoyoma