Mpaka hapo CCM watakapokuja kujua namna nzuri ya kukitumia choo hiki kipya walichojitengenezea, Uchaguzi utakuwa tayari umeshakwisha. Acha kwa sasa waendelee kuhangaika nacho.
Nilipo post hii thread kwa mara ya kwanza watu wengi hawakunielewa. Bado ninasisitiza kuwa, mpaka hapo CCM watakapoweza kukitumia ipaswavyo choo hiki walichojijengea, Tayari uchaguzi utakuwa umeshafanyika na hakiakuwa na kazi tena kwao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.