Mpaka wa Tanzania na Rwanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpaka wa Tanzania na Rwanda

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Adili, Mar 25, 2012.

 1. A

  Adili JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 2,009
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 180
  Salaam wanaUkumbi,

  Naomba mwenye kujua mpaka sahii kati ya Rwanda na Tanzania anifafanulie. Ramani nyingi zinaonyesha tofauti. Na je, kumewahi kuwako ubishi wa mpaka kati ya Tanzania na Rwanda? Nafahamu Tanzania na Uganda wamekubaliana na kuweka beacons mpya katika mpaka wao.

  Natanguliza shukrani.
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Tuwekee map au hata coordinates ili tuone kama ni sahihi au la!
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  mi mbona naona mpaka upo wazi kabisa, maana ukipita Rusumo unaona kuna mto Akagera ambao unatenganisha Tanzania na Rwanda
   
Loading...