Jamani mambo ya kubadilisha mpaka tuyaache , mnajua kuwa serikali Imetoa ramani mpya? Jamani Huo ni ugomvi, kwani sultani wa Oman akisema Zanzibar na Mombasa ni yake mutamuambia nini, hasa wakati muungano watu ni mwaka 1964. Mnafikiri mwenzenu alikimbilia Ziara Oman kwanini , kuogopa sooo