Mpaka wa Malawi na Tanganyika uko hapa!!!!

RAMANI GANI HAINA HATA uFUNGUO?Tatizo hujui kusoma ramani kwa mtazamo wako hayo maeneo yapo Tanzania .Geographia ya darasa la 5 inatosha.
 
RAMANI GANI HAINA HATA uFUNGUO?Tatizo hujui kusoma ramani kwa mtazamo wako hayo maeneo yapo Tanzania .Geographia ya darasa la 5 inatosha.

Wewe ni mmalawi nini???hata kama kakosea ila uzalendo mbele chalii angu....
Mandingo huyo jamaa inawezekana ni Mmalawi, atulie tu halafu waendelee na zozo lao la kung'ang'ania ziwa
akiingia Rais mwehu akatangaza kuchukua hiyo sehemu watatulia wenyewe
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu, ni vizuri kuhamasisha fikra mpya zenye ubunifu. Kmox Kmokole mimi ninakukubali kwa ubunifu. Endelea kiongozi usikatishwe tamaa na wenye wivu. Kama kunakitu hajaelewa mtu ama anaona kuna upungufu si aulize au ashauri? Kutokutoa marks hata panapostahili ni dalili ya wivu. Mtu akifanya jambo zuri, tumtie moyo jamani. Keep it up Kmox. Endelea kututolea vitu vya kibunifu utafika mbali.
 
Hii ya leo kali.

Tena kali kwelikweli

Tabby inabidi tuenende nao sawasawa na wao wanachokitaka, Wanataka ziwa lote la Malawi/Nyasa, nasi yatupasa kudai hicho kijisehemu kirudi Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…