Mpaka uzeeni...

Na ndoa ndoano huu msemo nani alianzisha,,,, maana kila mtu anatafsisi kivyake , hata yule aliye na makosa kwenye ndoa utamsikia eti "ndoa ndoano"

Glad to see you here!! Naona timu yangu niliyokuwa naisubiria imeanza kuwasili taratibu, japo nina wasiwasi kuna mmoja atadisappear soon!!! Dah.....sijui wengine watakuja saa ngapi vile..
 
mamkwe kila mtu anatamani kufika uzeeni katika hali le ya kwanza
kinachosababbisha sijui kutokuwa na uvumilivu sijui nini
jana tulikuwa na kikao kusikiliza kesi ya ndoa ya mwaka jana
dada/kaka wote wanataka ivunjwi na pete zilivuliwa pale pale
hakuna mtu alitaka kurudi na pete kidoleni
uzee huo ni kwa walioandaliwa pekee
japokuwa wengi wanatamani
 
Na ndoa ndoano huu msemo nani alianzisha,,,, maana kila mtu anatafsisi kivyake , hata yule aliye na makosa kwenye ndoa utamsikia eti "ndoa ndoano"
Hahahaha, eti hata aliye na makosa anautumia.Labda anamshushua mwenzake.
 
Kusema ukweli mambo mengine mi nayafikiriaga then nabaki kutikisa kichwa tu! We endelea kuhubiri kwanza mama mchungaji, nisipoelewa nitauliza maswali!!!
Hicho kichwa usitikise mpaka ubongo ulegee, alafu mama mchungaji hawezi kuendelea kuhubiri wakati hajui kama kakondoo kamemsoma au la.
 
mamkwe kila mtu anatamani kufika uzeeni katika hali le ya kwanza
kinachosababbisha sijui kutokuwa na uvumilivu sijui nini
jana tulikuwa na kikao kusikiliza kesi ya ndoa ya mwaka jana
dada/kaka wote wanataka ivunjwi na pete zilivuliwa pale pale
hakuna mtu alitaka kurudi na pete kidoleni
uzee huo ni kwa walioandaliwa pekee
japokuwa wengi wanatamani
Mkwe jiulize hao wawili walivyovishana hizo pete kwa mbwembwe, iweje leo wazione nuksi.Ni ajabu kweli, tatizo ni kutojiandaa na yaliyojificha humo ndani, au ukute mmoja aliahidiwa zaidi aliyokuja kupata.Mwishowe chuki tu ndo inatawala nyumba.

Hehehehehe, sijui na mie nimeandaliwa huo uzee masikini. . . . . !
 
AT getting there is not the issue, wanting to get there is. Kama mtu hafikirii/hataki/hajajiandaa kufika mwisho wa safari hata umbebe kichwa atafika sehemu akwambie umshushe maana unamchosha, wakati yeye ndie aliyebebwa.

Thank you Lizzy!!!! It is very difficult but it can be done.

 
Last edited by a moderator:
Mkwe jiulize hao wawili walivyovishana hizo pete kwa mbwembwe, iweje leo wazione nuksi.Ni ajabu kweli, tatizo ni kutojiandaa na yaliyojificha humo ndani, au ukute mmoja aliahidiwa zaidi aliyokuja kupata.Mwishowe chuki tu ndo inatawala nyumba.

Hehehehehe, sijui na mie nimeandaliwa huo uzee masikini. . . . . !

mkwe unaweza kuwa mmojawapo......ndoa za sasa ni kigeugeu kitupu sijui wanaoana kumfurahisha nani.....wakivishana pete maneno matamu sana kinachofuata utafikiri sio wao......uzee ilikuwa zamani sio ka baadhi ya vizazi hivi vya .com
 
Hehehehe inawezekana sema ni ngumu kumpata mtakaeweza kufika huko kote pamoja.
nikwambie kitu Lizzy? Mi na wewe tuoane.Kuna siku ulisema hujaolewa,the fact kwamba mimi ni veteran niliyetumika mpaka beyond expiry date na kwa post zako wewe ni 'kichwa' i think we can make it mpaka tufungiane zip.Nijibu basi kabla mtimanyongo kina fidel na kaizer hawajaamka!
 
bishanga ushazeeka wewe.... lizzy ntakufa nae mimi. avatar yake tu nipo braaaaa

nikwambie kitu Lizzy? Mi na wewe tuoane.Kuna siku ulisema hujaolewa,the fact kwamba mimi ni veteran niliyetumika mpaka beyond expiry date na kwa post zako wewe ni 'kichwa' i think we can make it mpaka tufungiane zip.Nijibu basi kabla mtimanyongo kina fidel na kaizer hawajaamka!
 
Lizzy to a moment nampenda sana niliye naye...frankly! na wakati mwingine najisikia unyonge pale zikinijia fikra kua siku moja nitamwona mzigo..unajua bhana huyu madam tunapendana na uwepo wake unanifanya niwe na faith ya kitoto...well never grow old dada...umri utatutupa mkono lakini whatever tulichoweka mioyoni mwetu kitaendelea kubaki the same...Mungu atusaidie
 
Lizzy mpendwa,
Mie sina la kusema coz bado nasilikizia sijafanya maamuzi,
Nikifikia kufanya maamuzi naweza sema chochote,
Hii mambo sio fashen,kufuta mkumbo,au kufurahisha wazazi au jamii,
Moyo wa mtu ni kiza kinene,Source: lady jay dee!
 
To be honest everybody wish wafike hapo but dot com imetuharibu, imagine mtu anagombana na mke wake chanzo cha ugomvi cha kijinga may be kisa mpira ha ha ha, unakuta dume linaipenda manchester kuliko wife... yaani kisa timu imefungwa anahamishia hasira home kunakuwa hakuna maelewano na wife wala watoto wakati hata huko manchester ajawahi kufika ha ha ha mababa zetu hawakuwa hivyo jamani tubadilike,,
i am talking through experience nilishuhudia mdada anamlalamikia mumewe kwa wakwe zake ( ambao ni wazazi wa rafiki yangu) kuwa mumewe anaaabudu mpira kuliko unyumba,, mke kaamua kufunga dstv home but jamaa bado atulii,, ile 2010 mumewe katumia zaidi ya 10 million kwenda kuchek world cup south africa wakati wapo kwenye ujenzi ambao haujakamilika na hiyo haijatosha ile kurudi baada ya likizo, akasafiri tena kipindi cha simba na mazembe mpaka congo na akatumia zaidi ya 3 million kwa wekend moja kwenye nauli na vitu vingine,, to be honest nilicheka sana na kusikitika kizazi hiki tulivyo inabidi wadada muwe wavumilivu tu kama wanataka kufika uzeeni
 
Mhhh somo zuri sana na picha zako Lizzy zimeendana na uhalisia wake.
Swali kubwa hapo kweli je wale ambao wako kwenye ndoa zao au ndo wanaingia au wanatafuta namna ya kuingia kwenye hizo ndoa are they ready to be there till kifo kiwatenganishe. Wako radhi kupambana na milima na mabonde mpaka wafikie umri wa huyo babu na bibi hapo.
Swali kwa wengi ni gumu maana kuna watu wako kwenye ndoa hawana uhakika wa kesho yake kitatokea nini. Wapo kwa sababu kuna mmoja anaogopa kuachika au anaogopa financial difficulties atakazokutana nazo akiachana na mwenzake, atakosa mali walizochuma pamoja, atakosa gari analotumia kuringia mjini, atasemwa vibaya na jamii na mambo kama hayo. Ila ile ndoa halisi na maana yake haipo ndani ya moyo wa mtu kama huyo.

Tatizo ni nini
Je wakati unaingia kwenye ndoa uliingia kwa kuwa ulimpenda mwenzako au ulivutiwa na status yake kwenye jamii au mshahara wake au mali zake
Je ulikuwa na uhakika kuwa huyu ndie atakayekuwa mwezangu mpaka kifo kiwatenganishe
Je ulimpenda kweli au ulimtamani tuu the way alivyo ukaona anafaa kuwa mke/mume
Je wakati unachukua kiapo cha kuwa mke na mume ulikuwa unamaanisha au ulikuwa unatamani padri, shekhe, mchungaji au DC amalize haraka uendelee na mambo yako au ufunue makucha uliyoyaficha
Je ulikuwa na uhakika kabisa kuwa huyu ndie nitakayekuwa nae kwa maisha yangu yote kwenye shida na raha, ugonjwa na taabu, akifilisika, akikosa kazi, mali ikipotea,akipata kilema cha maisha, au ulikuwa unatamani mguu wake wa bia au macho yakle mazuri, au umbo lake la no nane. Je akiwa kilema ile miguu mizuri ikiondoka will u still love her, au akiwa kipofu yale macho yake uliyoyatamani yakikosekana will be her partner till death separate you?
Sasa ukiweza jibu hayo maswali na changamoto nyingine mbalimbali ingia kwenye ndoa ukiwa na uhakika kuwa yule uliye nae mtafikia umri wa huyo babu hapo juu.
Ila hizi ndoa za kufuata mkumbo kuwa Lizzy kaolewa na mimi ngoja nimlazimishe yule jamaa yangu tuoane mwisho wake ni majuto. Unakuja kukumbuka kuwa ulikuwa humpendi na wala hauko tayari kuwa nae hata kwa usiku mmoja zaidi.
Au kwa kuwa fulani ameoa ngoja na mimi nioe au wacha nimuoe fulani nifaidike na mali zake au wacha fulani anioe nikafaidi utajiri wake hapo jua kuwa hakuna ndoa.
Mambo haya na mengine yanapunguza thamani ya ile taasisi ya ndoa na kufanya kuongezeka sana kwa talaka zisizotarajiwa hasa kwa watu kuoana na baadae wanakuja kujikuta kwambva hawakuwa wanawapenda au hakuna ile dhamiri ya ndoa ndani mwao. Walisukumwa zaidi na tamaa au mambo ya dunia zaidi ya institution ya marriage yenyewe.
Kwangu mimi am sure and absolutely sure and God yupo kushuhudia haya I will be in that shoes of that grandpa and grandma above with my marriage. Nilimpenda na nampenda na nitampenda till death do us part.
 
Back
Top Bottom