Mpaka uzeeni...

Humu kila mtu atatoa majibu uliyosema but sisi wanadamu tuna tatizo moja,hatujui kanuni ya kupata unachohitaji.In short hatujui kanuni za maumbile zinavyofanya kazi.Mfano mtu anatamani kuolewa/oa,halafu kila nukta anawaza kuhusu mume/mke malaya,anakuja kuoa/olewa na mtu wa tabia hiyo anaanza kulalama,hajui kuwa wakati anafikiria mtu wa tabia hiyo kwa muda mrefu ndo alikua anamvuta kwake.Tatizo hatujui kama mawazo,maneno yana nguvu sana ya kuumba!
 
Eiyer,ahsante kwa observation hii na kama kuna mtu anabisha hebu ajaribu ku imagine kwa muda mrefu kuwa kidole chake kinauma kisha aone kama hakitauma,power of thought!
 
Hicho kichwa usitikise mpaka ubongo ulegee, alafu mama mchungaji hawezi kuendelea kuhubiri wakati hajui kama kakondoo kamemsoma au la.

Umesomeka mama mchungaji!!

Ila kusema kweli mi nadhani ni vigumu kulihakikisha hilo, because there is no 100% assurance kwamba ulonae/unaetarajia kuwa nae................basi ndo huyohuyo mtazeeshana kama unavofikiria or kuwish iwe hivyo. Sanasana mtu ataongozwa na imani alonayo kwa mwenzi wake kutokana na kuwa ameridhika nae, na hapo ndipo anapojenga trust............again the belief of living with that person till death do them apart!!!

Mama mchungaji........kuna hiki kitu kinaitwa HOPE. Kinafariji sana lakini vilevile yaweza kuwa caution kubwa sana kwa mhusika.
Nasema hivyo kwa sababu kuna watu wanaingia kwenye ndoa kwa matumaini kuwa tomorrow gonna be a better day, hawa huwa hawana uhakika na waamuacho ila huwa wanajiaminisha. Yaani unakuta mtu anamtambua kabisa mwenzake na anajua fika kabisa mambo ya mwenzake yatamshinda ila anaingia tu kwenye ndoa akitegemea mwenzi wake ipo siku atabadilika. Sasa hapa ndo narudi kwako Lizzy...........preparation. Wengi wao hutumainia mazuri tu ila huwa hawajiandai kwa yale mabaya ambayo yaweza kutokea, sasa hapo ndo kuanza kadelete zile ndoto za kuzeeshana.
My dear..........no wonder hata hicho kilichoulizwa kwenye thread, baadhi ya watu wakalazimisha majibu yawe YES..even if in reality ni NO!! hahahahahahhhh kisa tu mtu hataki kuamini kua flani atamuacha..........eti kwa sababu yeye amezama. LOLZZZ!!!!!!!
 
nikwambie kitu Lizzy? Mi na wewe tuoane.Kuna siku ulisema hujaolewa,the fact kwamba mimi ni veteran niliyetumika mpaka beyond expiry date na kwa post zako wewe ni 'kichwa' i think we can make it mpaka tufungiane zip.Nijibu basi kabla mtimanyongo kina fidel na kaizer hawajaamka!

hahahahahaaaaaa............MR. BANANA MAN!!!!!
 
Ni maneno mazuri saana hasa kama yangekua yanawezekana.... Lizzy dear... Haya ni mafundisho kuhusiana na ndoa ambayo miaka nenda rudi hayabadiliki, ni maneno ambayo yametolewa kama muongozo wa watu kujua/kutafuta ama kupata mchumba; Pamoja na yale ya jinsi ya kuhakikisha unampata mtu ambae anafaa kua mwenza mara nyingi ikisukwa na dini.... Uzuri ni kwamba pamoja na kusema dini zatofautiana, katika mambo kama haya zafanana sababu culture plays it role hasa with its elements katika marriage institution.

However hayo mafundisho hayajazingatia kubadilika kwa maisha na life circumstances.... Most importantly hata watu wenyewe.... Kijana wa leo sio kijana wa kale... Walau wanaume kidogo wapo constant (thou nao wapungua at a pace kubwa) kuliko wadada. Hii inafanya kua vijana wanapo kutana... Hope ya kusema watafika hapo kwenye picha toka ujanani ni very minimal.... Labda waje waoane utu uzima, kila mmoja aliachika na kupata second chance....
Thanks Asha,kwa hiyo Bishanga Abashaija i stand a very good chance ya kupata wa kumfunga zipu uzeeni?du what an encouragement maana nshajikatia tamaa,hahahahahah!!!!!!
 
mimi nimefurahia izo picha tuuuuuu, mpaka nkajikuta sijasoma ulichoandika.
dah.....Mungu anisaidie na atusaidie tutoboze KATIKA NDOA ZETU umri walofika hao vikongwe kwenye hii picha. AMEN.
 
alllllaaaaaa ndo mana,kumbe TF mwoga wa circus,nawapa pole woooote wanaojigonga kwako!
Kudadekii ukinipeperushia ndege wangu utanitambua haswa :fencing::fencing:utachezea :boxing::boxing: hadi :faint::faint:baada ya hapo lazima :hail::hail: sanaaa
 
Well::: Sisi ambao tumo kwenye ndoa takribani miaka 30 hatuhusiki kuchangia hapa::: We've been through a LOT already!
 
Kudadekii ukinipeperushia ndege wangu utanitambua haswa :fencing::fencing:utachezea :boxing::boxing: hadi :faint::faint:baada ya hapo lazima :hail::hail: sanaaa
unantishia mapanga shaa sio? hatishwi mtu hapa,kwanza kina SL nahisi wame fall in love na Rejao,yaani wanawake wengine nasikia wanatamani kweli kulamba huo mpua na hilo li kipara,sasa sijui na wewe ukachonge mpua?
 
best man rejao matron kipipi,au?
ps: ongea pole pole eliza wa tegeta kalala asije akasikia!
mi nasubiri tu jibu la Lizzy...nipo tayari kuwasingikiza Kanisani, msikitini or bomani!
Eliza wa Tegeta atakuwa baunsa wa shughuli!!!
 
mi nasubiri tu jibu la Lizzy...nipo tayari kuwasingikiza Kanisani, msikitini or bomani!
Eliza wa Tegeta atakuwa baunsa wa shughuli!!!
Lizzy naye inaelekea macho mia mia huyo,ataumiza bure roho yangu.
 
Kutoka........
young-black-couple1.jpg

....mpaka.....
black+couple+old.jpg
Leo kuna mwalimu wetu ametuambia ushauri aliopewa kuhusu ndoa , na nani?Hakutwambia.
Neway ushauri wenyewe unasema hivi ''KAMA UNAWEZA KUMWONA HUYO ULIYENAE AKIKUFUNGIA VIFUNGO VYA BLAUZI UZEENI WAKATI WEWE HUWEZI TENA, BASI HUYO NDIE''.Kwahiyo kama unaweza kuona mkiwa pamoja miaka mingi baadae, wakati nguvu za kufanya mambo unayofanya mwenyewe huna tena na mwenzako akikusaidia basi ujue umempata mtu ambae anakufaa, moyo wako umemkubali.

That got me thinking, hivi ni wangapi waliopo kwenye uchumba na walioingia ndoani tayari wanafikiria hata kuwa pamoja na wenzi wao miaka minne mitatu mbele huku wakiwa na furaha? Hapo ulipo, unamwonaje mwenzi wako,Akizeeka, au hata akipata matatizo tu ambayo yatamfanya akutegemee wewe kwa kiasi kikubwa will you be there for him/her completely?No regrets or complaints? Utamsaidia kwa fahari? Au ndio utatamani Mungu amchukue mapema???

I hope the answers are YES, DEFINATELY, ABSOLUTLY NO REGRETS, YES and GOD NO!
Kama sio pole kwa kuwa kwenye ndoa na mtu ambae hajaziteka hisia zako kikamilifu. Naomba Mungu wale ambao bado wapo wapo siku wakiamua kuuga ukapera watatafuta watu ambao wanakubalika mioyon, nafsini na akilini mwao ili wimbi wa ndoa zinazovunjika ama zile zinazozaa manyanyaso/dharau/udanganyifu na mengineyo yapungue.

haya mambo hayana kanuni. na si rahisi kama wengi wanavyofikiria. dunia yote hii imeandika theories nyingi tu lakini theory ya upendo wa kweli inabaki kuwa siri ya mwanadamu na muumba wake.
 
nikwambie kitu Lizzy? Mi na wewe tuoane.Kuna siku ulisema hujaolewa,the fact kwamba mimi ni veteran niliyetumika mpaka beyond expiry date na kwa post zako wewe ni 'kichwa' i think we can make it mpaka tufungiane zip.Nijibu basi kabla mtimanyongo kina fidel na kaizer hawajaamka!
Leo siwezi kucheka hata kiJF kwahiyo usidhani sijafurahi.

Nwy sasa we Bishanga kama mwenyewe unasema ushatumika mpaka expiring date nayo imepita wakati yangu mimi hata sina, siutakuja kunifia mtoto wa watu? Yani zipu ntakufungia wewe ila by the time na mimi nahitaji kufungiwa hutokuwepo, au utakua huwezi hata kuinua kidole. That's not fair aiseeee. . .
 
kwenye ukoo wetu huwa hatuzeeki kihivyo bana,at 60 huwa tunaonekana ni wa 40's! halafu Rejao kwa nini anatufuatilia sana mazungumzo yetu,kunani?
 
Back
Top Bottom