Mpaka uzeeni nikikosa hiki kitu nitaumia sana,ipo sababu ya kukipigania sana.Karibu tuelimishane!

Alikuwa mtoto wa mfalme hivyo mali na utajiri tayar daudi alisha make kwaiyo hakuhitaji kuomba hivyo ndio maana yeye aliomba hekima na maarifa ya kuongoza watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ooky kwa hiyo kwa kufupi ni kama tabia/asili ya mtu ya kuzaliwa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Asie na busara/hekma akiishi ama kujenga urafiki na mtu mwenye busara/hekma, nae atakuwa mwenye hekma,,,hivyo busara/hekma ni tabia ya mtu mwenyewe kutokana na pahala anapoishi,,,kama baba na mama wanabusara/hekma na watoto pia watakua wenye hekma,,labda wakajichanganye na watoto waco na hekma/busara apo sawa.

Mtoto anazaliwa hali yakuwa mwenye hekma,,,lakini kusema Mungu ameumba binadamu kwa upendeleo, eti wenye hekma na waco na hekma ni kumkosea sana sana.
 
Kama upo katika hali hiyo mkuu mwelekee Allah (S.W), omba dua kwa wingi, Swali swala zote na ibada zingine za usiku,,,,inshaallah utakuwa na hekma!
 
Asie na busara/hekma akiishi ama kujenga urafiki na mtu mwenye busara/hekma, nae atakuwa mwenye hekma,,,hivyo busara/hekma ni tabia ya mtu mwenyewe kutokana na pahala anapoishi,,,kama baba na mama wanabusara/hekma na watoto pia watakua wenye hekma,,labda wakajichanganye na watoto waco na hekma/busara apo sawa.

Mtoto anazaliwa hali yakuwa mwenye hekma,,,lakini kusema Mungu ameumba binadamu kwa upendeleo, eti wenye hekma na waco na hekma ni kumkosea sana sana.
Asante mkuu ujumbe mzuri sana huu!
Nilitaka maelezo kama haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Mungu akamwambia Sulemani, Kwa sababu neno hili lilikuwamo moyoni mwako, wala hukujitakia mali, wala utajiri, wala utukufu, wala maisha za wakuchukiao, wala hukujitakia maisha ya siku nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom