mpaka unigegede kwanza!

mpaka unigegede kwanza!

yani wewe kweli kinega unapewa hela na demu unajisifu aisee chaliii wewe vivu... usiombe ukutane na mwanamke kama mimi utazitafuta unaweza ishiwa nauli na ukaomba nikakuacha utembee tokea mbagala mpaka tegeta bila ya huruma ,.....tafuta pesa wewe
wanawake ndo mabingwa wa kuchuna(opportunists),,,mnavimaliza vibabu vya watu,,,kwa iyo na sisi(wanaume) mara chache chache tukipata fursa ndo km ivo tunazitumia tu)
 
hivi unaujua hata huo usawa unaoliliwa ni upi au wafurahisha vidole hapo?

Nice kama wakujifunza utajifunza.hivi si unahabari kama wanawake ni viumbe dhaifu...umewahi jiuliza hilo lilitokana na nn? Haupati shaka kuwa udhaifu huo unatokana na tabia yenu ya kujiweka kwenye kundi la unyonge?

Naujua usawa unaozungumziwa na kitendo chakukataa kumpa hela mumeo/mchumba wako kwa kigezo cha jinsia kitakufanya usisikie hata harufu ya usawa..pengne hata kilembwe wako hatopata kuuona usawa huo pia maana hautpfikiwa.

Ikiwa umekulia mjini pengine hili halikuhusu ila kama wa kijijin nadhani utashuhudia mbele ya umma jinsi akina mama wa kike wanavyoendeleza unyonyaji kwenu.wapata shaka kujua hali halisi ilivyo??? Tazama mfano kaka yako alipojikwaa mama yako alimwambia "pole mwanangu wanaume hawaliagi" wakumbuka alkuwa anakwambia nn? Pengine hakusema "hebu nyanyuka huko unajilegeza nini utaishije kwa mumeo? Utaweza kumpikia ww?" Na mengine mengi.unajua athari yake? hali ile humzaa mike Tyson(wakiume) na Naomi Campbell(wakike) wakiume atapigana kwa furaha muda wote kwani jamii inamheshimu ila wakike atapigana ili azidi furaha kwa aliyefurahi tayar(mume)

Pengine huu hauupingi men and women are equal...mko sawa kweny nn ikiwa wewe unahisi yey ndiye mtoa hela na wewe n mpokeaji.....hapo ni sawa na dunia(USA) na nchi za dunia ya tatu(mf Tanzania) ipo haki ya kuulilia usawa?.
 
wanawake ndo mabingwa wa kuchuna(opportunists),,,mnavimaliza vibabu vya watu,,,kwa iyo na sisi(wanaume) mara chache chache tukipata fursa ndo km ivo tunazitumia tu)

me sikusapoti kabisa huu ujinga ni fedheha kwa mwanaume kuhongwa aisee ndo maaa kakuomba gemu kijinga jinga alafu ukifika kule ndo mwanzo wa kuambiwa nataka na uani loh... acha hizo mwanume pesa
 
Cha msingi we chukua tahadhari tu siku hizi Kuna architecs wa ku-design fumanizi Utajuta kumjua huyo my X Wako,magonjwa nayo yako kibao tu.Halafu it seems ndoa yake inamatatizo Sana,Sio kawaida!
 
mmmmmmmmmmmmmmmmmaaagggggggrrrrrr. ngoja nivute pumzi
 
povu liko wapi, halafu staki kuongea na "boys" tena. kwaheri

Mkuu, kama hutaki weka kimya, pia kama ukijiskia hutaki hojazako ziguswe usiweke mistari kwenye public kama jf. Napata mashaka kama kweli unauwezo wa kujenga hoja. Kwakofupi jf hapataki hasira, kama leo haupo vizuri nibora upite kimyaaaaaa....
Au kama unajiskia kuchagua wakuchangia hoja hapa jf basi hamia pm ili sisi wakina mimi tusione comments zako.
Naomba niishie hapo.
 
hahahaah, haya nimerudi kwa ajili yako ila ushiboy staki stories nae.

Nakumbuka kuna mdau aliwahi kuleta uzi unaohusu ubaguzi wa baadhi ya wadau humu jf, naomba nijiridhishe tu kwamba nawewe unakuhusu.
 
Last edited by a moderator:
me sikusapoti kabisa huu ujinga ni fedheha kwa mwanaume kuhongwa aisee ndo maaa kakuomba gemu kijinga jinga alafu ukifika kule ndo mwanzo wa kuambiwa nataka na uani loh... acha hizo mwanume pesa
tehe tehee,,,umenfraisha sana,,naona umekomaa sio mchezo,,,
 
Back
Top Bottom