Fundi manyumba 01
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,113
- Thread starter
-
- #161
Mkuu niseme nashukuru sana sana sana tena sana kwa ushauri wako...Inaonekana uko kwenye uhusiano wenye changamoto, hasa kutokana na hisia zako za kutothaminiwa au kupewa muda na mwenzako.
Hii hali inaweza kusababisha kutoelewana na kukufanya ujihisi kama wewe ndiye unayejitoa zaidi.
Kupata ufumbuzi wa kadhia hiyo, unapaswa kuzingatia mambo kadhaa yafuatayo:-
Weka wazi hisia zako
Weka wazi hisia zako kwake, lakini kwa namna ya utulivu na yenye lengo la kuelewa na kutatua changamoto zenu.
Pima Matarajio Yenu
Pengine wewe na mwenzako mko na matarajio tofauti kwenye mahusiano yenu.
Hivyo, zungumzeni kuhusu malengo na matarajio yenu ili kuona kama mpo kwenye ukurasa mmoja.
Je, ana Dalili za Kukupenda?
Kama tabia yake inaonesha ukosefu wa kujali kwa muda mrefu, inaweza kuwa ishara ya kutokuwepo uwekezaji wa kihisia kwake.
Jaribu kuangalia kama kuna ishara nyingine zinazoonyesha kutopendezwa kwake na uhusiano wenu.
Thamini Nafasi Yako
Kama unajihisi kutopewa thamani unayostahili, pengine ni wakati wa kutathmini kama uhusiano huo unakidhi haja zako au yanaongeza thamani kwako.
Ova
Mmmh mkuu kumbe ishu ni mashine.. unataka kusema nikimpa show huyu hatosumbuaSa si anakusaidia masuala ya Kila mara uko wapi we huoni kero anyway nitakupa mbinu ya kawaida kabisa
"Siku akija piga mashine hadi godoro iloe jasho" uone kama huta control hayo mahusiano
AnazinguaHuyo kondororing, mleta mada, anajuwa kuandikaring?
Mkuu tafadhali nielekeze hiyo saxophone nianze hata leoJifunze saxophone atakutafuta mwenyewe
Unazingua sasa na weweAnazingua
Piga chini huyo demu hakufai.Unazingua sasa na wewe
Hapana Fundi, sijatukana. Najaribu kukumbusha tu raha ya kuwa mwanaume na ukaamua kuitumia hiyo nafasi ya kuumbwa mwanaume.Mkuu mbona unatukana...
Mkuu ila unajua bad sijapiga pipe etPiga chini huyo demu hakufai.
mbona mademu wapo wengi tu
kwani we uko taifa gani??
Mkuu ananiendesha sana huyu mtu kwa sasa yupo mkoa...Hapana Fundi, sijatukana. Najaribu kukumbusha tu raha ya kuwa mwanaume na ukaamua kuitumia hiyo nafasi ya kuumbwa mwanaume.
hahahaha 😂🤣Mkuu ila unajua bad sijapiga pipe et
Ahhhhh home girl unanitenga ujue...Tatizo she yake umepuuzia kuweka s kwenye vitenzi
Ndio mkuu yaani mbwembwe zote hizi sijala badohahahaha 😂🤣
Ngoja nifute basAhhhhh home girl unanitenga ujue...
Unajua huyu mtoto ni wa ushirika... Ana jua kunizungusha aiseee
Ile week ya kwanza ya mahusiano ndio ulitakiwa umgonge,Mkuu ananiendesha sana huyu mtu kwa sasa yupo mkoa...
Na kiukweli sijawahi ku mla ila sasa nina mpango huo nataka nimkamie alafu ndo nianze kuzingua na mimi..
Baada ya hapo nitasambaza upendo wa namba kwa wenzangu wote
Mkaushie tafuta demu mwingineNdio mkuu yaani mbwembwe zote hizi sijala bado
Futa bana... We wa nyumbani si vema kufanya hvi hhNgoja nifute bas
Daaah mkuu ila bado mda upo..Ile week ya kwanza ya mahusiano ndio ulitakiwa umgonge,
Ngoja mpaka nipige kwanza na uzri taleta mrejesho hapa..Mkaushie tafuta demu mwingine
Wakuu habari za humu ndani...
Mpaka sasa najiuliza why she don't care... Wakuu nipo na mahusiano lakini hata simwelewi huyu mwenzangu mpaka sasa.
Yupo careless an usipomtafuta sahau kutafutwa.
Hana time na wewe.
Kapeace naomba uwe miongoni mwa washauri hapa...
Why she don't care,
najitoa sana kwake lakini she don't care...
🙌🙌🙌🙌🙌 She turn me into play boy soon as possible...
Sawa sawa mkuu tajaribu inshaallah....Utaelewa vizuri siku una watoto naye 2 na she doesn’t care, achana naye, Kama ujaoa analeta stress hizo, imagine una watoto naye 2 na ndoa ya Miaka 7