Mpaka sasa Marekani hajaonyesha silaha yoyote mpya katika vita yake na Iran

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,621
Reaction score
6,510
Marekani amekuwa anaiwaza na kujipanga na vita dhidi ya Iran kwa miaka zaidi ya 40 sasa.

Siku zimekwenda, nyakati zimefika, na vita nayo imefika. Pande zote mbili zipo kwenye "theater of war" wanatwangana.

Marekani ana play "a long game" kwa kumfanya Iran awe "desperate" na aonyeshe kadi zake zote. Wakati huo huo, Iran anaonyesha mbinu zake na kile alichokuwa amejiandaa nacho mfano matumizi ya drones ambazo kwa bahati mbaya kwa Iran, Marekani alishaona akizitumia kwa hiyo hazijamshangaza sana madhara yake.

Wengi wanaodai Iran ameshinda au anashinda hii vita wanasahau kitu kimoja. Marekani mpaka sasa hajaonyesha silaha yoyote mpya katika vita hii ambayo unaweza kuita ni "game changer". Ina maana kwamba kwa tathmini ya Marekani, bado vita inaenda kwa jinsi wanavyotaka kwa hiyo hawajaona umuhimu wa kuonyesha turufu yao mpya. Unadhani Marekani ajiandae kwa vita na wewe kwa miaka 40 halafu ategemee tu silaha zilezile za siku zote ndiyo zimuokoe? Yale marobot mpaka sasa hayajaingizwa vitani na hatujui kipi kingine walichonacho.

Iran anaenda kuishiwa stock ya makombora, huku uwezo wa kuzalisha makombora mapya katika mazingira ya sasa ni mgumu sana. Pia uchumi wake unaenda kuanguka maana hana uwezo tena wa kuuza mafuta wala kufanya biashara nyingine ya maana na dunia.

Siku zote wazee wa vita wanajipanga kwanza kwenye uchumi wao (na jinsi watakavyoumiza uchumi wako) kabla hata risasi moja haijarushwa.

Kwa kumalizia, msilinganishe vita hii na tuvita twingine kama tule twa Israel na Waarabu, vita inapiganwa siku 6 imeisha, kila mtu anarudi kwake na labda Israel ameteka vipande vya ardhi. Hii vita ni ya kuondoa utawala ulio madarakani kwa zaidi ya miaka 40 uliojijengea ushawishi Palestina, Lebanon hadi Yemen. Ni vita inayoenda kubadili siasa nzima za Mashariki ya Kati.
 
Siku zote wazee wa vita wanajipanga kwanza kwenye uchumi kabla hata risasi moja haijarushwa.
Hivi vistori uchwara mnaandika mkiwa mmeshashiba magimbi😅😅😅😅

Illussions.

Marekani na Israel hawezi kushinda hiyo vita.

Kwanza Iran amesha-paralyse uchumi wa dunia kwa kuziba njia ya kupitisha petrol. Marekani kwenyewe ndio kwanza mafuta hayashikiki.

Mashariki ya kati kote Dubai, Iraq, Bahrain kunawaka moto, Marekani ameshindwa kuwalinda. Yuko busy na Israel.

Israel huko Iran anarusha makombora kila baada ya dakika 20, kunakaribia kuwa GAZA na Netanyahu kapotea hewani.

Nchi za Kibepari zina utamaduni, mmoja wa kuangalia FAIDA. Makombora mengi ya Marekani, ni ya gharama kubwa sana.

Iran ana vikombora vyake vya Dola 20,000 na anavizalisha viiiingi kama nyuki. Vinarushwa kama 2,000 ukitungua 1,800 vilivyobaki 200 vinakugonga.

Na uzalishaji wake ni rahisi, maana yake haviishi leo wala kesho.

Iran ameshapiga Military bases za Marekani karibu zote hapo Arabuni, kwasasa anashambulia Israel, meli za US zinazopita Strait of Hormuz na US embassies.

Hapo bado nyuma ya Iran kuna China na Russia. Wakati Iran mwenyewe kajipanga na vita miaka 40.

IRan yenyewe imejaa milima, na mabonde Marekani wakisema wapeleke askari, watakuwa wamewaingiza machinjioni.

Marekani amemtelekeza Ukraine, karuhuau watu wanunue gas na mafuta ya Russia.

Marwkani ameshafika mwisho.

Zimebaki mbwembwe tu.
 
Sawa chambuzi la masuala ya kivita na geopolitics kutoka udindivu mapinga.
 
Vistory vya kijinga jinga peleka Kwa Wanywa Viroba huko
Mnonaga Marekani kama Miungu kwenu hovyo kabisa
 
Hivi vistori uchwara mnaandika mkiwa mmeshashiba magimbi😅😅😅😅

Illussions.

Marekani na Israel hawezi kushinda hiyo vita.

Kwanza Iran amesha-paralyse uchumi wa dunia kwa kuziba njia ya kupitisha petrol. Marekani kwenyewe ndio kwanza mafuta hayashikiki.

Mashariki ya kati kote Dubai, Iraq, Bahrain kunawaka moto, Marekani ameshindwa kuwalinda. Yuko busy na Israel.

Israel huko Iran anarusha makombora kila baada ya dakika 20, kunakaribia kuwa GAZA na Netanyahu kapotea hewani.

Nchi za Kibepari zina utamaduni, mmoja wa kuangalia FAIDA. Makombora mengi ya Marekani, ni ya gharama kubwa sana.

Iran ana vikombora vyake vya Dola 20,000 na anavizalisha viiiingi kama nyuki. Vinarushwa kama 2,000 ukitungua 1,800 vilivyobaki 200 vinakugonga.

Na uzalishaji wake ni rahisi, maana yake haviishi leo wala kesho.

Iran ameshapiga Military bases za Marekani karibu zote hapo Arabuni, kwasasa anashambulia Israel, meli za US zinazopita Strait of Hormuz na US embassies.

Hapo bado nyuma ya Iran kuna China na Russia. Wakati Iran mwenyewe kajipanga na vita miaka 40.

IRan yenyewe imejaa milima, na mabonde Marekani wakisema wapeleke askari, watakuwa wamewaingiza machinjioni.

Marekani amemtelekeza Ukraine, karuhuau watu wanunue gas na mafuta ya Russia.

Marwkani ameshafika mwisho.

Zimebaki mbwembwe tu.
Raia wa Iran hawawezi kuvumilia hii vita hata kwa mwezi mmoja tu wataingia barabarani. MO29 watu walikaa ndani siku mbili tu, wakaona ndani hakukaliki.

Huko milimani na mabondeni yatashushwa maroboti mhangaike nayo. Unayapiga risasi unakutana na chuma, yakikupiga wewe unatoka damu.
 
Jifunze kuchakata taarifa halisi, badala ya kutumia wishes na hisia zako.

Iran yuko vitani miaka 40 sasa, na wanajua jinsi ya kuishi.

Oktoba 29, ilitokea kwasababu wewe nchi yako imejaa viazi kote, kuanzia Ikulu mpaka jeshini na huyo Mkundu usoni kama anapaka mkorogo na hawakutegemea ndio maana wakaua watu ovyo ovyo tu mpaka vitoto vidogo.

Iran wana majanga ya ndani, ili linapotokea shambulio kutoka nje, wote wanakuwa kitu kimoja.

Marekani ana maroboti gani??

Hakuna nchi yenye ADVANCED ROBOTICS Dunia hii kama China, ambaye yuko upande wa Iran.

Hujiulizi TRUMP na NETANYAHU waliwaomba Wa-IRAN watoke nje kuandamana ili wamalize kazi, lakini hawakutoka??

Hujiulizi kwanini TRUMP na Netanyahu waliwaomba KURDS wasaidie kupigana na Iran watawawezesha ,ila wamekataa, wamewajibu kuwa THEY ARE NOT GUNS for HIRE???
 
Marekani amekuwa anaiwaza na kujipanga na vita dhidi ya Iran kwa miaka zaidi ya 40 sasa.

Siku zimekwenda, nyakati zimefika, na vita nayo imefika. Pande zote mbili zipo kwenye "theater of war" wanatwangana.

Marekani ana play "a long game" kwa kumfanya Iran awe "desperate" na aonyeshe kadi zake zote. Wakati huo huo, Iran anaonyesha mbinu zake na kile alichokuwa amejiandaa nacho mfano matumizi ya drones ambazo kwa bahati mbaya kwa Iran, Marekani alishaona akizitumia kwa hiyo hazijamshangaza sana madhara yake.

Wengi wanaodai Iran ameshinda au anashinda hii vita wanasahau kitu kimoja. Marekani mpaka sasa hajaonyesha silaha yoyote mpya katika vita hii ambayo unaweza kuita ni "game changer". Ina maana kwamba kwa tathmini ya Marekani, bado vita inaenda kwa jinsi wanavyotaka kwa hiyo hawajaona umuhimu wa kuonyesha turufu yao mpya. Unadhani Marekani ajiandae kwa vita na wewe kwa miaka 40 halafu ategemee tu silaha zilezile za siku zote ndiyo zimuokoe? Yale marobot mpaka sasa hayajaingizwa vitani na hatujui kipi kingine walichonacho.

Iran anaenda kuishiwa stock ya makombora, huku uwezo wa kuzalisha makombora mapya katika mazingira ya sasa ni mgumu sana. Pia uchumi wake unaenda kuanguka maana hana uwezo tena wa kuuza mafuta wala kufanya biashara nyingine ya maana na dunia.

Siku zote wazee wa vita wanajipanga kwanza kwenye uchumi wao (na jinsi watakavyoumiza uchumi wako) kabla hata risasi moja haijarushwa.

Kwa kumalizia, msilinganishe vita hii na tuvita twingine kama tule twa Israel na Waarabu, vita inapiganwa siku 6 imeisha, kila mtu anarudi kwake na labda Israel ameteka vipande vya ardhi. Hii vita ni ya kuondoa utawala ulio madarakani kwa zaidi ya miaka 40 uliojijengea ushawishi Palestina, Lebanon hadi Yemen. Ni vita inayoenda kubadili siasa nzima za Mashariki ya Kati.
Aisee, kumbe Marekani amecheza mchezo wa miaka 40 ili tu Iran aonyeshe drones zake? Huu ni mpango mrefu kuliko hata ule wa vita vya baridi.

Halafu cha ajabu zaidi, kila vita ikianza watu wanasema “bado Marekani hajaonyesha silaha yake ya mwisho.” Inaonekana hiyo silaha ya mwisho imekuwa ikingoja tangia vita vya Vietnam War hadi War in Afghanistan lakini bado haijaonekana.

Na kuhusu “Iran kuishiwa makombora”, watu wamekuwa wakisema hivyo tangu baada ya Iran–Iraq War, lakini bado kila baada ya muda tunasikia tena kuna makombora mapya.

Kwa kifupi, hii analysis inaonekana kama movie trailer: silaha ya siri ipo, robot zipo, mpango wa miaka 40 upo… kinachokosekana tu ni siku ya kuonyesha hiyo “turufu ya mwisho.” 😄
 
Cha kushangaza huyo Marekani, baada ya kusumbuliwa sanaa na DRONE za IRAN ( Shahed-136) na yeye akaenda kukopi na kupesti Drone kama hiyo akaipa jina la Lucas😅

Marekani alikuwa zamani, bana alipoweza kudanganya watu.

Dunia imebadilika sana kwa sasa.
 
Raia wa Iran hawawezi kuvumilia hii vita hata kwa mwezi mmoja tu wataingia barabarani. MO29 watu walikaa ndani siku mbili tu, wakaona ndani hakukaliki.

Huko milimani na mabondeni yatashushwa maroboti mhangaike nayo. Unayapiga risasi unakutana na chuma, yakikupiga wewe unatoka damu.
Labda iwe kwa mwaka huu,lkn ninavojua Mimi Iran walipigana na Iraq Kwa miaka minane.
Kama ni uzoefu wa vita vya muda mrefu Iran Hana tatizo.
 
Marekani amekuwa anaiwaza na kujipanga na vita dhidi ya Iran kwa miaka zaidi ya 40 sasa.

Siku zimekwenda, nyakati zimefika, na vita nayo imefika. Pande zote mbili zipo kwenye "theater of war" wanatwangana.

Marekani ana play "a long game" kwa kumfanya Iran awe "desperate" na aonyeshe kadi zake zote. Wakati huo huo, Iran anaonyesha mbinu zake na kile alichokuwa amejiandaa nacho mfano matumizi ya drones ambazo kwa bahati mbaya kwa Iran, Marekani alishaona akizitumia kwa hiyo hazijamshangaza sana madhara yake.

Wengi wanaodai Iran ameshinda au anashinda hii vita wanasahau kitu kimoja. Marekani mpaka sasa hajaonyesha silaha yoyote mpya katika vita hii ambayo unaweza kuita ni "game changer". Ina maana kwamba kwa tathmini ya Marekani, bado vita inaenda kwa jinsi wanavyotaka kwa hiyo hawajaona umuhimu wa kuonyesha turufu yao mpya. Unadhani Marekani ajiandae kwa vita na wewe kwa miaka 40 halafu ategemee tu silaha zilezile za siku zote ndiyo zimuokoe? Yale marobot mpaka sasa hayajaingizwa vitani na hatujui kipi kingine walichonacho.

Iran anaenda kuishiwa stock ya makombora, huku uwezo wa kuzalisha makombora mapya katika mazingira ya sasa ni mgumu sana. Pia uchumi wake unaenda kuanguka maana hana uwezo tena wa kuuza mafuta wala kufanya biashara nyingine ya maana na dunia.

Siku zote wazee wa vita wanajipanga kwanza kwenye uchumi wao (na jinsi watakavyoumiza uchumi wako) kabla hata risasi moja haijarushwa.

Kwa kumalizia, msilinganishe vita hii na tuvita twingine kama tule twa Israel na Waarabu, vita inapiganwa siku 6 imeisha, kila mtu anarudi kwake na labda Israel ameteka vipande vya ardhi. Hii vita ni ya kuondoa utawala ulio madarakani kwa zaidi ya miaka 40 uliojijengea ushawishi Palestina, Lebanon hadi Yemen. Ni vita inayoenda kubadili siasa nzima za Mashariki ya Kati.
Usikute silaha mpya hana
 
kudhani vita hii ni mchezo wa siku chache ni upungufu wa uelewa wa kijeshi. Marekani ina rasilimali zisizo na kifani, teknolojia ya kisasa na mfumo wa intelijensia unaowawezesha kubadilisha mbinu zake wakati wowote—hiyo ndiyo “long game” ya kweli.
Pili, kudhani Iran iko hatarini kumalizika kwa uchumi au uhaba wa makombora ni hoja ya kiitikadi, si tathmini ya uwezo halisi wa kijeshi. Vikosi vya majini, ulinzi wa anga na drones ni halisi, na historia inaonyesha mataifa yameweza kuendelea kupigana hata chini ya vikwazo vya uchumi.
Tatu, kumlinganisha vita hii na mashambulizi ya Israel ya siku 6 ni kupotosha ukweli. Hii ni vita ya muda mrefu yenye lengo la kubadilisha geopolitics ya Mashariki ya Kati, si mashambulizi ya haraka au propaganda ya mitandao.
 
Unakopi na kupesti taarifa kutoka CHATGPT??

In shot, wakati Trump anaingia Iran, alidhani ni kama VENEZUELA.
 
Marekani amekuwa anaiwaza na kujipanga na vita dhidi ya Iran kwa miaka zaidi ya 40 sasa.

Siku zimekwenda, nyakati zimefika, na vita nayo imefika. Pande zote mbili zipo kwenye "theater of war" wanatwangana.

Marekani ana play "a long game" kwa kumfanya Iran awe "desperate" na aonyeshe kadi zake zote. Wakati huo huo, Iran anaonyesha mbinu zake na kile alichokuwa amejiandaa nacho mfano matumizi ya drones ambazo kwa bahati mbaya kwa Iran, Marekani alishaona akizitumia kwa hiyo hazijamshangaza sana madhara yake.

Wengi wanaodai Iran ameshinda au anashinda hii vita wanasahau kitu kimoja. Marekani mpaka sasa hajaonyesha silaha yoyote mpya katika vita hii ambayo unaweza kuita ni "game changer". Ina maana kwamba kwa tathmini ya Marekani, bado vita inaenda kwa jinsi wanavyotaka kwa hiyo hawajaona umuhimu wa kuonyesha turufu yao mpya. Unadhani Marekani ajiandae kwa vita na wewe kwa miaka 40 halafu ategemee tu silaha zilezile za siku zote ndiyo zimuokoe? Yale marobot mpaka sasa hayajaingizwa vitani na hatujui kipi kingine walichonacho.

Iran anaenda kuishiwa stock ya makombora, huku uwezo wa kuzalisha makombora mapya katika mazingira ya sasa ni mgumu sana. Pia uchumi wake unaenda kuanguka maana hana uwezo tena wa kuuza mafuta wala kufanya biashara nyingine ya maana na dunia.

Siku zote wazee wa vita wanajipanga kwanza kwenye uchumi wao (na jinsi watakavyoumiza uchumi wako) kabla hata risasi moja haijarushwa.

Kwa kumalizia, msilinganishe vita hii na tuvita twingine kama tule twa Israel na Waarabu, vita inapiganwa siku 6 imeisha, kila mtu anarudi kwake na labda Israel ameteka vipande vya ardhi. Hii vita ni ya kuondoa utawala ulio madarakani kwa zaidi ya miaka 40 uliojijengea ushawishi Palestina, Lebanon hadi Yemen. Ni vita inayoenda kubadili siasa nzima za Mashariki ya Kati.
Rubbish/nonsense
 
Back
Top Bottom