sembo JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 4,350 Reaction score 3,451 Nov 12, 2016 Thread starter #81 Belo said: Tunaomba uandike tena hizo takwimu halafu tutajie mashabiki wenzio wamchangani tuwajue kabisa inaonekana hapa JF wewe tu mshabiki wa timu ya mchangani Click to expand... Mkuu, hizo takwimu sina. Kama unazo unaweza kuziandika.
Belo said: Tunaomba uandike tena hizo takwimu halafu tutajie mashabiki wenzio wamchangani tuwajue kabisa inaonekana hapa JF wewe tu mshabiki wa timu ya mchangani Click to expand... Mkuu, hizo takwimu sina. Kama unazo unaweza kuziandika.
IL Capitano JF-Expert Member Joined Jun 30, 2014 Posts 216 Reaction score 123 Nov 12, 2016 #82 Sembo update takwimu zako maana tumemaliza mzunguko wa kwanza
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,914 Reaction score 10,276 Nov 12, 2016 #83 sembo said: Mkuu, hizo takwimu sina. Kama unazo unaweza kuziandika. Click to expand... Na mashabiki wenzio wamchangani umewasahau ?
sembo said: Mkuu, hizo takwimu sina. Kama unazo unaweza kuziandika. Click to expand... Na mashabiki wenzio wamchangani umewasahau ?
sembo JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 4,350 Reaction score 3,451 Nov 12, 2016 Thread starter #84 Belo said: Na mashabiki wenzio wamchangani umewasahau ? Click to expand... siwakumbuki.. wewe unawakumbuka?
Belo said: Na mashabiki wenzio wamchangani umewasahau ? Click to expand... siwakumbuki.. wewe unawakumbuka?
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,914 Reaction score 10,276 Nov 12, 2016 #85 sembo said: siwakumbuki.. wewe unawakumbuka? Click to expand... Naona bado uko eneo korofi,ukitulia tunaomba majibu
sembo said: siwakumbuki.. wewe unawakumbuka? Click to expand... Naona bado uko eneo korofi,ukitulia tunaomba majibu
tutafikatu JF-Expert Member Joined Dec 17, 2011 Posts 3,432 Reaction score 4,783 Nov 12, 2016 #86 Mkuu sembo sasa umepata nguvu!!!
K kibaravumba JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,633 Reaction score 7,021 Nov 13, 2016 #88 Yanga wameamua kuleta kocha wa kufundisha mpira maana huyu mzungu alibebwa na matokeo ya kununua mechi sasa naona bosi wao amechoka kununua kaamua kuleta kocha mpya!
Yanga wameamua kuleta kocha wa kufundisha mpira maana huyu mzungu alibebwa na matokeo ya kununua mechi sasa naona bosi wao amechoka kununua kaamua kuleta kocha mpya!
K kibaravumba JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,633 Reaction score 7,021 Nov 13, 2016 #89 Phd Hewa said: Simba Click to expand... Unanunua mdoli wa Simba unamshika mkia halafu unajisifu eti mdoli wa simba anafanana na paka!!?
Phd Hewa said: Simba Click to expand... Unanunua mdoli wa Simba unamshika mkia halafu unajisifu eti mdoli wa simba anafanana na paka!!?
Nas Mapesa JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 5,286 Reaction score 5,423 Nov 15, 2016 #90 sembo said: siwakumbuki.. wewe unawakumbuka? Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] kachomoka,wakuu mna roho mbaya sana huyu mr eneo korofi kumbe katokea mmeshindwa kunistua?
sembo said: siwakumbuki.. wewe unawakumbuka? Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] kachomoka,wakuu mna roho mbaya sana huyu mr eneo korofi kumbe katokea mmeshindwa kunistua?