Mpaka sasa hivi sina mwaliko wa sikukuu.

Baby Doll

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
4,716
21,521
Hellow guys.
Ndugu zangu kutoka bara,
Kwa moyo wa unyenyekevu naombeni mwaliko wa sikukuu ya Christmas. .
Tarehe 20 natoka Zanzibar kuelekea Dar es salam.
Nategemea kupata mialiko ya kutosha na nitahudhuria yote.
Shukran
 
Chura ni nini?
20181212_143049.gif
 
Back
Top Bottom