Mpaka sasa CCM imepoteza majimbo matatu.

KATUNI%2BYA%2BDAIMA%2BAGOSTI%2B001.jpg
 
CCM mpaka sasa imepoteza majimbo 3 baada ya waliokuwa wabunge wa majimbo hayo kuhamia upinzani. Majimbo hayo ni:Monduli,Kahama na Segerea

Acha uongo Segerea hatujapoteza mahanga sio segerea kwanza alishapigwa chini na chama kwa hiyo hakuna kupoteza, hilo hata chadema wanajua ndio maana hakuna shamrashamra za kumpokea kama zilivyofanyika kwa Lembeli na Bulaya, huyu ni takataka maji ya chooni hayatakati hata kwa lolote, pole zake Caro aliyemuona mwanaume kidume
 
Ccm usikoment hapa hatutaki CCM kuongea chochote mana Ma ccm ni sawa na shetani wezi wakubwa
 
Acha uongo Segerea hatujapoteza mahanga sio segerea kwanza alishapigwa chini na chama kwa hiyo hakuna kupoteza, hilo hata chadema wanajua ndio maana hakuna shamrashamra za kumpokea kama zilivyofanyika kwa Lembeli na Bulaya, huyu ni takataka maji ya chooni hayatakati hata kwa lolote, pole zake Caro aliyemuona mwanaume kidume

Wacha kuweweseka huyo mbunge wenu kesha watoka la msingi ni kukubali kuwa mmempoteza na siyo kurusha ngumi hewani haikusaidii
 
CCM mpaka sasa imepoteza majimbo 3 baada ya waliokuwa wabunge wa majimbo hayo kuhamia upinzani. Majimbo hayo ni:Monduli,Kahama na Segerea

CCM haijapoteza hayo majimbo mkuu, uchaguzi bado haujafanyika, wananchi ndio wataamua hayo majimbo yanakwenda kwa nani. Acheni kuandika vitu vsivyokuwa na maana. Msije shangaa hayo majimbo yakachukuliwa na CCM hao hao baada ya uchaguzi. Hii ni Tanzania ndugu, hii sio Kenya.
 
Acha uongo Segerea hatujapoteza mahanga sio segerea kwanza alishapigwa chini na chama kwa hiyo hakuna kupoteza, hilo hata chadema wanajua ndio maana hakuna shamrashamra za kumpokea kama zilivyofanyika kwa Lembeli na Bulaya, huyu ni takataka maji ya chooni hayatakati hata kwa lolote, pole zake Caro aliyemuona mwanaume kidume
Unapomtukana mteule wa Rais (Naibu Waziri) usisahau kuwa umemtukana na Rais mwenyewe!!!! Tafakari na kisha chukua hatua!
 
Ni vyema wakachangia pia tusikie mawazo yao yachuki yatatujenga na kutuweka mahali safi
 
Mleta mada utakuwa umekurupuka.. Uchaguz bado wewe unasema kuwa Uchaguz tayari
 
Back
Top Bottom