Hiyo ndo ukawa ccm mkusanye vilago vyenu mkaishi kwa seth na rugemalila
siku za intarahamwe zinahesabika,na hazipimiki kwa mzani
Hapa musoma ccm imekufa
Ccm inalia mlio wa mbwa mwitu porini kusiko na msaada
Mtoa hoja mkuu
huo sio ukweli
Mkoa wa Mara?????
kama mikutano ya ukawa serikali za mitaa iko hivi uchaguzi mkuu itakuwaje?
Kweli hayo ni maji ya shingo.
swissme:
Ccm haina pakutokea mimi ni mkazi wa musoma mjini na pia biashara zangu huwa nafanyia bunda kiujumla musoma mjini na bunda ccm haipo kabisa,na bunda wapo tayali kumng'oa wassira
Mkuu musoma mjini na BUNDA sio mkoa wa Mara rafiki bali hiyo ni sehemu tu ya mkoa wa Mara
Mie nipo Nyamongo wilaya ya Tarime
Je huku sio Mara?
Na je huku hakuna CCM kushinda?
Nadhani ulipaswa kutaja hizo sehemu ulizozitaja kuliko kusema mkoa wa Mara
Au sio mkuu?
Ccm iko taabani haina uhakika hata wa kupata mitaa asilimia 10Mkuu musoma mjini na BUNDA sio mkoa wa Mara rafiki bali hiyo ni sehemu tu ya mkoa wa Mara
Mie nipo Nyamongo wilaya ya Tarime
Je huku sio Mara?
Na je huku hakuna CCM kushinda?
Nadhani ulipaswa kutaja hizo sehemu ulizozitaja kuliko kusema mkoa wa Mara
Au sio mkuu?
Kiujumla mkoa wa mara ccm haipo tena,tarime mpaka sasa uzinduzi uliofanywa na heche juzi umewasambaratisha ccm,na siku si nyingi jembe la ukweli nyerere anakuja kusimika ushindi hapo tarime na mchezo unaisha kihivyo
Hii ni habari njema ila umati wa watu kwenye mikutano ya kampeni sio conclusive evidence ya CCM chali mkoani Mara, determinant ni wapiga kura, na ili CCM ilale chali, hao wapiga kura wengi waipigie Chdema!. Makundi au umati wa watu kwenye kampeni sio kigezo cha ushindi!, nilihudhuria kampeni za Chadema kwenye uchaguzi mdogo majimbo ya Busanda na Biharamulo, kampeni za Chadema zilifunga funika bovu!, na CCM zilidorora hakuna mfano!, lakini kwenye matokeo, kote kuwili ni CCM ilishinda!. Hivyo mpaka sasa, inawezekana ikawa ni kweli mkoa wa Mara CCM chali, na inaweza isiwe!, tusubiri matokeo!.uzinduzi wa kampeni za serikali za mitaa mkoa wa mara uliofanyika musoma mjini siku ya alhamisi ulikuwa ni wa kipekee na wenye mapokezi makubwa kwani mpaka sasa pamoja na kwamba ccm wanatumia pesa na vitisho kwa wagombea wa upinzani lakini bado hali yao ni mbaya sana katika mkoa wa mara.