Mpaka niulize

Mpaka niulize

Alexism

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
3,423
Reaction score
2,046
Haijawai tokea mwenyewe kusema kama imeingia jamani.Mpaka mimi eti ndo nimuulize kama imeingia wakati yeye ndo anaweka,kama vipi wanajanvi nitaacha.
Huyu muuza duka yaani kuweka vocha anaweka mwenyewe kwenye cm yangu lakini mpaka nimuulize kama imeingia.
 
acha tu mdau. Tumia tigo pesa, voda m-pesa na airtel pesa(zap) kujirichaji. HATAKUINGIZIA TENA.
 
Haijawai tokea mwenyewe kusema kama imeingia jamani.Mpaka mimi eti ndo nimuulize kama imeingia wakati yeye ndo anaweka,kama vipi wanajanvi nitaacha.
Huyu muuza duka yaani kuweka vocha anaweka mwenyewe kwenye cm yangu lakini mpaka nimuulize kama imeingia.

Kazi kweli kweli!!!! ila vijana wengi wanaotoka nyanda za juu kusini (mby,iringa) ndivyo mlivyo
 
dah! Yaani nimekuwa mdogo kwa kucheka. Nalog off
 
Back
Top Bottom