kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 14,151
- 16,139
Hawa watu sijui ndio wamenichuuza ama vipi wote siwapati viongozi wa maandamano hatari sana waje tukaokoe bandari zetu!
Wewe huyu huyu? Acha uhuniHawa watu sijui ndio wamenichuuza ama vipi wote siwapati viongozi wa maandamano hatari sana waje tukaokoe bandari zetu!
Umoja ni nguvu!Wewe huyu huyu? Acha uhuni
Umelala kitandani apo na ki Tecno chako una hadaa watu.Hawa watu sijui ndio wamenichuuza ama vipi wote siwapati viongozi wa maandamano hatari sana waje tukaokoe bandari zetu!
Hatutaki Umoja wakoUmoja ni nguvu!
Ngoja nikupe location utanikuta kijana wacha woga!Umelala kitandani apo na ki Tecno chako una hadaa watu.
ndio wew mwenye t-shirt nyeusi na kapelo la kaki hapa mbele yangu?, nakuona tu muda mrefu apo, unaenda mbele, unarudi nyuma, mara usimame uchati kidogoHawa watu sijui ndio wamenichuuza ama vipi wote siwapati viongozi wa maandamano hatari sana waje tukaokoe bandari zetu!
Hawapatikani wote!Wanashangaa hii bodi ya Dini moja
Hapana huyo ni mwingine kabisa!ndio wew mwenye t-shirt nyeusi na kapelo la kaki hapa mbele yangu?, nakuona tu muda mrefu apo, unaenda mbele, unarudi nyuma, mara usimame uchati kidogo
nikajua ni wewe umeficha upara na kofia ya kakiHapana huyo ni mwingine kabisa!
Wahuni tu hao na wapiga porojo tu .walifikiria wana Mbeya ni wajinga kama wao
Ungempiga picha!nikajua ni wewe umeficha upara na kofia ya kaki
tulia mzee, papara nyingi mno.Hawa watu sijui ndio wamenichuuza ama vipi wote siwapati viongozi wa maandamano hatari sana waje tukaokoe bandari zetu!