Kwa mawazo yangu nafikili nch tutakuja kua huru pale taasisi mbili muhimu zitakapokuja kupata viongozi wenye akili na wenye kujielewa. Wenye kujali maslai ya taifa zaidi kuliko kujali maslai yao binafsi.
Taasisi hizo ya kwanza ni jeshi la polish. Siku ukipata kiongozi anaejielewa na kuelewa kua kazi yake ni kulinda raia na haki zao. Yakua sio kesho la kulinda maslai ya mtu na chama fulani, chi hii itaelekea kupata uhuru wa kitaifa.
Taasisi ya pili ni jeshi la taifa [ jwtz ]. Pale itakapofikia kupata viongozi wenye weledi na kujitambua Kua wao ni taasisi inayopaswa kulinda mipaka ya nahi, na wasiishie hapo tu pia najua kua ni wajibu wao kuilinda katiba ya nchi, watu wake na rasilimali zake. Hapo tutakua tumepata uhuru kamili.
Tofauti ya sasa ya kua taasisi zote hizi zimejikita ktk kutokujali maslai ya umma,zaidi zaidi kujali maslai yao binafsi na kufikilia teuzi hasa baada ya kustafu. Matokeo yake zimekua taasisi mateka kwa watu binafsi, matajiri na mateka wa chama cha siasa.
JE NI LINI TUTAFIKA HAPO?