Mpaka leo kuna watu wanatumia Tecno na Infinix

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,878
Reaction score
4,440
Enyi watu badilikeni basi inakuaje mpaka leo kuna watu wanatumia tecno? Kuna jamaa mmoja nimepishana nae njiani eti linatumia tecno aisee nilishikwa na kichefuchefu nusura nitapike yaani jinsi nilivyokerekwa na kuchukia baada kumuona linatumia tecno hebu badilikeni.

Yaani mimi nikimuona mtu anatumia tecno na infinix hata akiniomba msaada simsaidii jinsi ninavyokerekwa hivyo yaani mtu akitumia tecno na infinix mimi naona kama ni wagonjwa akili.


Serikalu fanyeni muanze kutoa mikopo ya hizo za Samsung na iPhone watu waache kutumia mabomu.

This thread posted by using Samsung note 10 plus 5G
 

Usisahau pana watu nchi hii ambao hawajawahi kuongea kwenye simu kabisa katika maisha yao yote. Unao ushauri wowote kwao?
 
Unyanyasaji huu, ndio maisha yetu hayo na ndio uwezo wa wallet zetu ulipofikia
Siku tukipata nasi tutanunua hayo makampuni yenye simu za gharama kubwa nasi tutese mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…