Hukupewa namba ya simu na wewe.Huyu binti nimekutana naye mara moja na sikuwahi kumjua kabla ila ananinyima usingizi. Juzi jumapili wakati natoka Makumbusho usiku alipanda gari nililokua nimepanda tukashuka wote Buguruni.
Mtu umekutana naye tu njiani unasema unaumia sana.Huyu binti nimekutana naye mara moja na sikuwahi kumjua kabla ila ananinyima usingizi. Juzi jumapili wakati
Take your time 😀😀Huyu binti nimekutana naye mara moja na sikuwahi kumjua kabla ila ananinyima usingizi. Juzi jumapili wakati natoka Makumbusho usiku alipanda gari nililokua nimepanda tukashuka wote Buguruni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wala isingesaidia mkuu. Mademu hua wana uwezo mkubwa sana wa kunusa fursa kwa sekunde chache tu za kukutana na wewe. Huyo demu alishamthaminisha jamaa akaona hapa hamna kitu ndio maana akampa namba hewa ili kupunguza usumbufu [emoji23][emoji23]
Ndio zako eeh..?😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha tatizo lake kuu ni kukosa usingizi??Nunua coldcap kunywa moja usiku utalala mkuu bila hofu kabisa
😂😂😂😂Watu bilioni 7 + Duniani!,
60mil+ Tz nzima
Unakosa usingizi Buguruni!!
Hapa unamzungumzia mwanamke au Changudoa....??Wala isingesaidia mkuu. Mademu hua wana uwezo mkubwa sana wa kunusa fursa kwa sekunde chache tu za kukutana na wewe. Huyo demu alishamthaminisha jamaa akaona hapa hamna kitu ndio maana akampa namba hewa ili kupunguza usumbufu 😂😂
Panya wa SUA [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wanawake ni kama yule panya anaenusa mabomu
Nimecheka🤣🤣🤣Looo salaaleee, dem wa BUGURUNI vaa ndom 4 mkuu
Utanishukuru baadae
[emoji2][emoji2][emoji2]Mlipoachana tu alisonya
Ujatupa feedback vp huyo dem ajakucheki tuAchana na huyo