Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,378
Yeah, ujue kuna vitu vingine sio hadi uwe na elimu ya chuo ili kuvielewaNaunga mkono HOJA yako 100%
Yeah! Dogo ameshindwa kujiongeza kwenye vitu vidogo kama hivi.Hili ndio jibu thread closed
Alikuridhisha tu kukupa..next time ukishapewa na umeoza hivyo,unamfutilia kisirisiri mpk atakapoingia....wake up.Huyu binti nimekutana naye mara moja na sikuwahi kumjua kabla ila ananinyima usingizi. Juzi jumapili wakati natoka Makumbusho usiku alipanda gari nililokua nimepanda tukashuka wote Buguruni.
Nilimfata nikamwomba kama hatojali tubadilishane no kwa mawasiliano zaidi haikua rahisi nilihojiwa maswali kama naomba kazi UN.
Kishingo upande akanipa no akasema ila haipatikani akifika atawasha simu nami akasave yangu kwa simu alodai ni ya rafiki yake anatoka kuifata kwa fundi.
Tokea tulivyoachana hajanitafuta na no haipatikani. Naumia sana nawaza sana siko tayari kumpoteza na sijui wapi pa kumpata.
Mshukuru Mungu anayeendelea kukuepusha na matatizo ya msingi.Huyu binti nimekutana naye mara moja na sikuwahi kumjua kabla ila ananinyima usingizi. Juzi jumapili wakati natoka Makumbusho usiku alipanda gari nililokua nimepanda tukashuka wote Buguruni.
Nilimfata nikamwomba kama hatojali tubadilishane no kwa mawasiliano zaidi haikua rahisi nilihojiwa maswali kama naomba kazi UN.
Kishingo upande akanipa no akasema ila haipatikani akifika atawasha simu nami akasave yangu kwa simu alodai ni ya rafiki yake anatoka kuifata kwa fundi.
Tokea tulivyoachana hajanitafuta na no haipatikani. Naumia sana nawaza sana siko tayari kumpoteza na sijui wapi pa kumpata.
Yani haupo tayari kumpoteza mtu usie mjua nigga? Alafu unakosa vipi usingizi mzee na mtu hata inawezekana humkumbuki mmekutana usiku?Huyu binti nimekutana naye mara moja na sikuwahi kumjua kabla ila ananinyima usingizi. Juzi jumapili wakati natoka Makumbusho usiku alipanda gari nililokua nimepanda tukashuka wote Buguruni.
Nilimfata nikamwomba kama hatojali tubadilishane no kwa mawasiliano zaidi haikua rahisi nilihojiwa maswali kama naomba kazi UN.
Kishingo upande akanipa no akasema ila haipatikani akifika atawasha simu nami akasave yangu kwa simu alodai ni ya rafiki yake anatoka kuifata kwa fundi.
Tokea tulivyoachana hajanitafuta na no haipatikani. Naumia sana nawaza sana siko tayari kumpoteza na sijui wapi pa kumpata.
Kwel kabisaUkweli ni kwamba hujamvutia.
Mtu humjui halafu unaumia kumpoteza. Je ungekuwa umemuonja si ndio ungekufa kabisaHuyu binti nimekutana naye mara moja na sikuwahi kumjua kabla ila ananinyima usingizi. Juzi jumapili wakati natoka Makumbusho usiku alipanda gari nililokua nimepanda tukashuka wote Buguruni.
Nilimfata nikamwomba kama hatojali tubadilishane no kwa mawasiliano zaidi haikua rahisi nilihojiwa maswali kama naomba kazi UN.
Kishingo upande akanipa no akasema ila haipatikani akifika atawasha simu nami akasave yangu kwa simu alodai ni ya rafiki yake anatoka kuifata kwa fundi.
Tokea tulivyoachana hajanitafuta na no haipatikani. Naumia sana nawaza sana siko tayari kumpoteza na sijui wapi pa kumpata.
Mshukuru MUNGU kwa kila jambo labda hakuvutiwa na weweHuyu binti nimekutana naye mara moja na sikuwahi kumjua kabla ila ananinyima usingizi. Juzi jumapili wakati natoka Makumbusho usiku alipanda gari nililokua nimepanda tukashuka wote Buguruni.
Nilimfata nikamwomba kama hatojali tubadilishane no kwa mawasiliano zaidi haikua rahisi nilihojiwa maswali kama naomba kazi UN.
Kishingo upande akanipa no akasema ila haipatikani akifika atawasha simu nami akasave yangu kwa simu alodai ni ya rafiki yake anatoka kuifata kwa fundi.
Tokea tulivyoachana hajanitafuta na no haipatikani. Naumia sana nawaza sana siko tayari kumpoteza na sijui wapi pa kumpata.
Kweli mkuu pesa Inapunguza habari za kujielezaBaada ya kupeana namba Unge mpa minoti kadhaa kama ahsante kwa kutumia muda wake wa maongezi kumsimamisha njiani, hiyo ingempa flashback hata kama akiondoka, kumbuka nguvu ya pesa,pesa hupunguza kujieleza sana