Mpaka fulani!!

hahhaahhha jaman kwan kukosea asi tumeumbiwa sisi bnadamu au?
itabid unisamehe tu na kuniuliza y umemtaja john ntakujibu cz mpak nimvutie hisia ndo acceleration inakuja..so its ma apetite wen m wth u..kwa maelezo hayo utanpga tu bado?
ahh basi wewe utakuwa aunpend........!

Rose nawe, unafurahisha! sasa unampenda yule john bado au kipi kinakufanya umuwaze yy first?
 
Nimetolea mfano anjelina ila kiukweli nawezakukumbuka ambako nilishapitia ndo mambo yanakuwa bambam!kwake mhh nichakwanza chakukata kiu!

pengine inawezekana mpenzi wako hakuridhishi kimapenzi ndio maana unakumbuka yaliyopita
 
Mimi ninaomba msaada maana mimi nikiwa na mpenzi wangu napiga cha kwanza vinavyofuata mpaka niwaze anjelina!!ndo ngoma inarudi katka track!ila nikiwa na wengine nje mama yangu hata mtoto akifungiwa bembea anabembea bila tabu sasa nini mbadala wake??Msaada!:wink2:

Hiyo itaendelea kukusumbua hadi kwenye ndoa yako; na ni matunda ya kujiingiza katika ngono kabla ya kuoa/ kuolewa na ukiendeleza tabia ya kuwa na 'wapenzi' wengi hutaweza kudumu kwenye ndoa yako sababu tu ya first experience.

Msaada wa uhakika ni kutubu na kuacha kabisa kujihusisha na ngono kabla ya ndoa, hiyo ni kwa uslama wa ndoa yako ikiwa una mpango wa kuoa.
 
Vipi kama anajihusisha na mpango huo akiwa ndani ya ndoa? Assume ukiishi na mwanamke kama mpenzi wako kwa muda wa miaka miwili mfululizo:blah: mnaqualify kuwa wanandoa. Pili hata mkeo ni 'mpenzi' wako.
 
Acha kuangalia picha za ngono! Maana humo ndiyo unawaona wengi wa maumbo tofauti!!!!
 
ina maana humpendi huyo bibie,(kapoteza mvuto kwako)
ungempenda kwa dhati usingehitaji kumuwaza mwingine ili mambo yaende sawa.
ushauri wangu tulia na yule unayezani anakuridhisha kiukweli
 
Mimi ninaomba msaada maana mimi nikiwa na mpenzi wangu napiga cha kwanza vinavyofuata mpaka niwaze anjelina!!ndo ngoma inarudi katka track!ila nikiwa na wengine nje mama yangu hata mtoto akifungiwa bembea anabembea bila tabu sasa nini mbadala wake??Msaada!:wink2:
Tafadhali, fuata hatua zifuatazo:

  1. Jiunge na IPC haraka sana. Hapa utapata ujasiri na siri ya ukweli katika kukuweka huru....!
  2. Kasimulie haya yote kwa mpenzio, na uwe tayari kushirikiana naye kutatua tatizo hili...!
  3. Mwambie mpenzio awe makini na akuchunguze wakati mnacheza sarakasi zenu, hasa kwa round ya 2, 3, 4.....! Then, akikushtukia kuwa mawazo yako yanahama AKUPIGE KOFI kali kidogo...! Hapa mawazo yatarudi kwake, na muda wote utakuwa unamuwaza yeye hadi mwisho...!
 
Hapo kwenye kofi unampotosha jamani. Huyo mpenzi wake hampandishi stimu kwa vile mapenzi sio kiviiile. Ikitokea anampiga kofi jamaa atafeel maumivu, atasinyaa, kitachomolewa kwa hasira na malalamiko mengi ya umeniumiza sana ...ooh siwezi kuvumilia bora kila mtu achukue time.
 
inaonekana ni hivyo, unaweza kumpa huo msaada japo vifike vi 5?

Mpendwa Nyamayao, Bwana Yesu apewe sifa....

Samahani mimi sitoi misaada ya hivi.... Nitampa msaada wa maombi atulie.

Hivyo ndivyo unavyomshauri Kuhani Mkuu?

wewe unaweza kumsaidia?

Kumsaidia Askofu au?

ndivyo unavyotaka wewe? askofu akitoa msaada na wewe uendelee na msaada? au umsaidie kijana moja kwa moja....

........:decision:
 
Usha mchoka shemeji hivyo.
Mimi ninaomba msaada maana mimi nikiwa na mpenzi wangu napiga cha kwanza vinavyofuata mpaka niwaze anjelina!!ndo ngoma inarudi katka track!ila nikiwa na wengine nje mama yangu hata mtoto akifungiwa bembea anabembea bila tabu sasa nini mbadala wake??Msaada!:wink2:
 
pole,hili tatizo nalisikia hata kwa watu wengi.
na huwa linasababishwa na mawasiliano,I MEAN MAWASILIANO.
mnatakiwa mjiandae mapema, yani muandae mwenzi wako tangu mwanzo,sio kwa kipindi cha tukio la hasha hata wakati upo ofisini jaribu kuwasiliana nae kimahaba. muelezee ni jinsi gani unahitaji raha toka kwake tena si moja,2 hata 5.na mkishakutana mda huo wote mtakua mind settled.na mtainjoy.
pia jaribu kubadilisha mazingira,mahali pa tukio,sehem ya tukio na hata staili ya tukio.chagua kimojawapo kiwe tofauti na siku zote kama si vyote.sure ukimaliza moja utapenda uendelee.
 
Jamani kaka jirekebishe,hebu chagua mpenzi mmoja tu.acha kuwafanya wanawake kama sehemu tu ya burudani.ugekuwa wewe mpenzi wako ndo yuko hivyo ungejisikiaje?jambo usilopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio.
 
Kiukweli hapo panahitaji kazi ya kiada. Mi huwa na mwenza ambaye nikimwona tu inasimama. Kabla hata sijamgusa
 
Si bado unampenda huyo wa nje kaka? Kama alivyosema mchangiaji hapo juu, mind yako ielekeze kwa mkeo muone ndo yupo safi katika nyanja zote. Ilishawahi kunitokea kwa mdada mmoja akanambia huwa anativutia hisia akiwa na mumewe ndo hisia zimpande. Nikampa Pole japo alinitamkia ananipenda mie nambania. Nikamwambia wewe mke wa mtu mpende mumeo lizika naye. Moyoni nikajiuliza huyu kabla hatujafahamiana alikuwa anavutia hisia kwa nani sasa? Na atakuwa anawapenda wangapi?.
 
Uasherati ni tabia ya kula dudu kabla ya ndoa
Uzinzi ni tabia ya kula dudu na wakina Eliza wengi wakati ukiwa ndoani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom