Mpaka fulani!!

Mimi ninaomba msaada maana mimi nikiwa na mpenzi wangu napiga cha kwanza vinavyofuata mpaka niwaze anjelina!!ndo ngoma inarudi katka track!ila nikiwa na wengine nje mama yangu hata mtoto akifungiwa bembea anabembea bila tabu sasa nini mbadala wake??Msaada!:wink2:

Nyama ya bucha moja moja ni tofauti na nyama ya buacha nyingine. ukigundua kwenye bucha ya mwarabu kuna nyama nzuri safi na tamu basi huna sababu yoyote ya kuhamia bucha nyingine. Matokeo yake ndiyo hayo ya kuhangaika huku na kule. Ukinunua nyama kwenye bucha ya mwarabu appetite bab kubwa unakula wala husazi, lakini ukienda bucha nyingine basi unagusagusa tu na appetitte inapotea haraka sana. Kazi kwako!
 
Mpwa ulikua unamskia pepo wa ngono tu, sasa ndo huyooo unae mpwa!
 
Rose unanifurahisha kitu kimoja,huwa unasema ukweli. Ila sasa huyo mchumba wa nursery siku mkikutana,ndoa kwishnei.Omba Mungu nae awe ana tatizo hili la KakaKiiza la sivyo inakula kwako.
 
Back
Top Bottom