MP Lema with Arusha Development Fund

Wewe unafikiri Nyerere alipotaifisha viwanda vya Wahindi na Wazungu na kumtoa mtu kwenye nyumba ya nyasi na kwenda kumfanya General Manager kwa mshahara kiduchu (SCOPO) alifanya vizuri? Kama ni ndiyo hivyo viwanda leo hii viko wapi? Huwezi kutenganisha maendeleo ya Taasisi yeyote na Watu wanaoisimamia[/QUOTE

Nakushauri uwe unachangia tu thread za jokes.
 
CCM huyu?? Mm ni mkazi wa rausha co mchaga wala mwnachadema lakini nimefaidika!!!!!! Acha fitina za kipuuzi!

Mkuu umefaidika vipi? Hii ADF naisikia humu JF na mimi niko Arusha; kwa faida ya wengine weka angalau mkutasari wa shughuli zinazosimamiwa na ADF.
 
Nadhani tuwe optimistic. Tuache mambo ya ukabila. Mfuko umeshaanza kusaidia watu wengi tu na wala si wachaga. Wahanga na waathirika wa tukio la Arusha siyo wachaga tu na wamesaidiwa. Mimi siamini katika negativity!! Kama watu wenye tatizo na limeletwa mbele waache kusaidiwa kwa sababu tu ni mwanachadema au mchagga la hasha! Kinachotakiwa watu wapate katiba ya mfuko wenyewe waisome na wailewe badala ya kukurupuka tu na kuanza kulaumu tu kuwa eti kwa vile vijana ndiyo viongozi mfuko hauna credibility, mimi siamini hivyo kwani hata Lema si mzee na Nyerere alipkuwa anakuwa rais wa kwanza wa Tanganyika hakuwa mzee, akina Salim Ahmed Salim hakuwa mzee, akina Peter Kisumu hawakuwa wazee, akina Mzee Mtei hawakuwa wazee, akina JK walipoanza kuwa viongozi hawakuwa wazee, akina hao wote unaonwaona kuwa ni wazee credible sasa, hawakuwa wazee wakati wanapewa madaraka. Sasa unaposema nao wananjaa ni wapi utampata aliyeshiba halafu akulishe chakula kwa wakati hali yeye wala hahisi njaa?
Tujiamini kuwa tunaweza, na tutaweza! Tunahitaji credible institutions na siyo credible individuals. Creditble institutions zitakuwa na njia ya kujiangalia zenyewe katika njia ya wazi na kuchukua hatua haraka kuziba mianya inayojitokeza. Tunahitaji taasisi imara na siyo watu imara. Sasa hivi vyama kama CCM zina watu imara hivyo siku hao hawapo wataporomoka tu! Tunahitaji kujenga taasisi imaraka katika nchi yetu.
" We need strong Institutions and Strong People"

Naomba usome tena thread yangu na kisha usome comment zako especially sehemu nilizo bold. Baada ya hapo naomba u edit comment yako na uitume tena.
 
Naombeni msi ni quote vibaya. Sijasema watendaji wa ADF siyo credible sababu ni vijana. Nimesema kuna watu ambao ni credible already ambao wanaweza wekwa kama trustees ambao ni rahisi wao ku raise fund kuliko mimi na wewe ambao bado tunapigana na maisha yetu. I am sure ADF can raise more funds if it will involve right figures, there are opportunities to do much better.

Mfano: Mimi Blue Balaa mfanyakazi wa Airtel/Exim bank au CRDB nikiitisha fund raising kwa aijili ya ADF na mtu kama Mzee Mshiu/Mzee Kisumo na wao wakaitisha fund raising kwa lengo hilo hilo unafikiri nani ana nafasi kubwa ya kufanikiwa?

Basically you can not compare my credibility with the gurus that I have mentioned - never. So tutumie watu kama hawa wakati na sisi wengine tukiendelea kujijengea heshima ndani ya jamii ili kuweza kukubalika zaidi hapo baadae.

Naomba tusichangie mada kwa ushabiki mara sijui ni ya wachaga, chadema, vijana. Hivi ADF ikanunua dawa za Mt Meru hospial zitamezwa na wachaga peke yao?
 
Mfuko huu umeanza kupata tuhuma nzito za kutowepo 'transparency'.

Yapo madai kuwa mfuko huu unasaidia zaidi watu wa kabila moja. (90% ya waliofaidika hadi sasa ni Wachagga)

Yapo pia madai kuwa mfuko huu unaendeshwa kisiasa kwa maana kwamba wengi wa waliosaidiwa ni wanachama wa CHADEMA.

Kwa mwendo huu, sioni uwezekano wa mfuko huu kuendelea.
Wewe kweli ni pasua kichwa usiyejua tumetoka wapi,tuko wapi na tunaenda wapi.
Hivi wakazi wa Arusha asilimia kubwa ni kabila gani? si wachaga? sasa wakipewa upendeleo kuna kosa gani?
Na je, huyo mbunge wa Arusha kupitia CDM kachaguliwa na nani? si kachaguliwa na waarusha wenyewe kupitia
CDM? sasa kama huo mfuko ukitoa upendeleo kwa wanachama wa CDM kuna kosa gani? mbona hao mafisadi
wako CCM wamekaa madarakani miaka 50 hawajawahi kufanya hicho kitu hapo Arusha zaidi ya kutanua matumbo yao?
wametutawala miaka 50 lakini hadi leo hatuna umeme,maji,heathy care,nk. Acha ujinga mkuu jaribu kubadilika kifikra.
 
Naombeni msi ni quote vibaya. Sijasema watendaji wa ADF siyo credible sababu ni vijana. Nimesema kuna watu ambao ni credible already ambao wanaweza wekwa kama trustees ambao ni rahisi wao ku raise fund kuliko mimi na wewe ambao bado tunapigana na maisha yetu. I am sure ADF can raise more funds if it will involve right figures, there are opportunities to do much better.

Mfano: Mimi Blue Balaa mfanyakazi wa Airtel/Exim bank au CRDB nikiitisha fund raising kwa aijili ya ADF na mtu kama Mzee Mshiu/Mzee Kisumo na wao wakaitisha fund raising kwa lengo hilo hilo unafikiri nani ana nafasi kubwa ya kufanikiwa?

Basically you can not compare my credibility with the gurus that I have mentioned - never. So tutumie watu kama hawa wakati na sisi wengine tukiendelea kujijengea heshima ndani ya jamii ili kuweza kukubalika zaidi hapo baadae.

Naomba tusichangie mada kwa ushabiki mara sijui ni ya wachaga, chadema, vijana. Hivi ADF ikanunua dawa za Mt Meru hospial zitamezwa na wachaga peke yao?

Hakuna ushabiki wa kikabila kama unavyodhani.
Suala la dawa mt Meru, sawa. Kila mtu atafaidi bila ya kujali ni kabila gani.
Lakini suala la kusomesha watoto, kwanini walengwa wamekuwa wa mkoa wa Kilimanjaro-hasahasa Wachagga???
 
Nahisi wewe ni Mary chitanda yule diwani kutoka mkoa wa Tanga uliyesababisha hadi hii leo Arusha kutotawalika.
 
Wewe kweli ni pasua kichwa usiyejua tumetoka wapi,tuko wapi na tunaenda wapi.
Hivi wakazi wa Arusha asilimia kubwa ni kabila gani? si wachaga? sasa wakipewa upendeleo kuna kosa gani?
Na je, huyo mbunge wa Arusha kupitia CDM kachaguliwa na nani? si kachaguliwa na waarusha wenyewe kupitia
CDM? sasa kama huo mfuko ukitoa upendeleo kwa wanachama wa CDM kuna kosa gani? mbona hao mafisadi
wako CCM wamekaa madarakani miaka 50 hawajawahi kufanya hicho kitu hapo Arusha zaidi ya kutanua matumbo yao?
wametutawala miaka 50 lakini hadi leo hatuna umeme,maji,heathy care,nk. Acha ujinga mkuu jaribu kubadilika kifikra.

Hapa umeongea pumba tupu. Nimekusamehe.

Kwa jinsi ulivyoandika, inaonesha kuwa mfuko huo ni kwa ajili ya wafuasi wa Lema peke yao. Yaani Wachagga na wanachama wa Chadema.

Kamwe hatuwezi kukubalina kuwa na mfuko wa kibaguzi kama huu. Ni aibu na dhambi kubwa hapa Tanzania kuwa na mfuko unaowalenga watu wa kabila au chama fulani. Hautufai mfuko wa aina hii.

Pia yafaa ujue kuwa Arusha si ya Wachagga pekee wala si wengi kuliko wenyeji wa asili wa mkoa huu pamoja na Watanzania wengine chungu mzima toka kila kona ya nchi.

Kwani makabila mengine yanayoishi Arusha hakuna watu wasio na uwezo na wenye mahitajio ya elimu na kustahili kusaidiwa?

SHAME ON ArDF and its founders!
 
Hujanijibu bado. - Nimekuuliza hao mafisadi wako wa ccm pamoja na wewe mwenyewe mmetawala nchi hii na hapo
Arusha kwa miaka 50'kwanini hamkufanya hicho kitu kwa faida ya wakazi wa Arusha? Au ni wivu tu unawasumbuweni?
Kwanini usipige kelele hizo kwenye makashifa ya ufisadi wa epa, richimond,iptl,meremeta,kiwira,NBC,Dowans,mauaji ya
Arusha n.k? Yaani unashupalia kitu kidogo tu cha Arusha na huku ukiacha vitu vikubwa? shame on u! f......u
 
Naona najibizana na mtu mwenye matatizo ya uelewa.
Siku moja utazinduka, utajua ninachojaribu kukuelimisha.
Kwa sasa naona unaendelea kujifunika blanketi la ujinga.
 
Ahsante sana mpaka hapo naona nimekushinda kwa hoja na umekubari kushindwa.
Kama bado au unalingine'njoo tu mie nipo humu humu huwa nawasubiri watu wa aina kama yako
ili niwaelimishe kwa upole na ikishindikana hata kwa viboko vya keybord.
 
Kama kawaida yake, huyu Kishongo ameshateka mada na kuvuruga mtiririko.
Hivi hao mafisadi wanaokutuma wanakulipa kiasi gani?
 
NIMEPENDA AVATAR YAKO,IT SAYS ALOT ABOUT YOUR CHARACTER, SMART MONKEY,CUNNING MONKEY,PIMPED MONKEY,BUT WELL ,YOU ARE STILL A MONKEY :) mfuko wa Arusha ni wa kuigwa na wabunge wote,pia unaweza kutumika kama channel ya wabunge kuweka mapesa wanayopata humo ili watu wake wafaidike,eg. mh lakairo wa mkoa wa mara, yeye ameamua kununa Grader lijenge barabara jimboni mwake ,badala ya kununa Landcruiser VX ,(kwani tayari anazo)so angekuwa na mfuko kama huo angeweza kutumbukiza hizo pesa,then mfuko ukanunua hilo grader ,na kusaidia ujenzi wa miundombinu ktk jimbo and the grader remains to be in the name of mfuko,na siyo jina la mbunge. Je wabunge wa CDM watafanyia nini Pesa zao 90 mil each.

Back
Top Bottom