MP joins bandwagon against new constitution | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MP joins bandwagon against new constitution

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyaturu, Jan 1, 2011.

 1. N

  Nyaturu Member

  #1
  Jan 1, 2011
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MP joins bandwagon against new constitution


  By George Marato, The Guardian, Dar es Salaam


  30th December 2010

  While some politicians, activists and academicians are agitating for the drafting of a new Union constitution, Chama Cha Mapinduzi legislator and prominent lawyer Nimrod Mkono has supported Attorney General Frederick Werema's stance against an entirely new constitution.

  Mkono, who is the MP for Musoma Urban constituency, said in a telephone interview that he was surprised to see so many Tanzanians engrossed in the clamour for a new constitution.

  He said there was no need to go for a new constitution simply to imitate Kenya, arguing that it would suffice for Tanzanians to settle for the required amendments to the current one.

  “I am not quite sure what those demanding a new constitution are up to. I might even describe them as pseudo-academicians because you cannot draft an entirely new constitution as if the country has all along been administered without one. They should only identify what is required to be revised or added to the present constitution,” Mkono said.

  He said since he belonged to legal profession, he would never support a proposal for the drafting of a new constitution owing to the weak arguments advanced, adding that Tanzanians should instead sit down and discuss how the present constitution could be improved.

  Mkono said the President, Parliamentarians and other leaders took an oath to defend the constitution and not to amend it, hence agitating for a new one was tantamount to mounting a coup d'etat against the United Republic of Tanzania.

  “If those clamouring for a new constitution do not realise the import of their demand, I shall try to make it clear to them. During the campaigns we neither promised Tanzanians to come up with a new constitution nor to discuss the issue. The five hundred thousand Musoma rural citizens who voted for me have never asked for a new constitution. Now you are instigating people to draft a new constitution. Do you want to stage a revolution?” he querried.
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Sasa tuone Mukono na hao wabunge wengine watasema nini baada ya kinara wao kutoa hotuba ya mwaka mpya akiunga mkono mabadiliko ya
  katiba.
   
 3. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkono ni fisadi mkubwa! Ndio yeye aliyeshiriki kwenye wizi wa mabillioni ya sh BOT akiwa mwanasheria wake na kuichoma bank kupoteza ushahidi. Ameendelea kushiriki kwenye ufisadi ikiwemo Dowans. Zile Tsh 185 billions zinaingia kwa Mkono, Lowassa na Rostam. Ki ufupi wao ndio beneficiaries wa katiba tuliyo nayo, kwa hiyo sitegemei mtu kama yeye aunge mkono katiba mpya. Ndugu zangu katiba mpya itatusaidia watanzania wote ikiwemo wana CCM wasio nufaika na ufisadi, na mfumo wa uchaguzi katika chama chao. Shime watanzania tudai katiba mpya kwa nguvu zote. JK anatakiwa atoe ratiba ya namna katiba mpya inavyopatikana,haitoshi tu kutwambia ataunda tume, afterall, maoni ya tume ya Judge Nyalali na Judge Kisanga hayajafanyiwa kazi na serikali. Tunataka katiba mpya hatutaki usani wa JK na wenzake!!!!
   
 4. S

  S.M.P2503 JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 463
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Akina mkono na wengineo wote wanaopinga KATIBA MPYA ni waogopaji wa kukariri vifungu vipya maana wanjua kutakuwepo na vifungu vipya vya katiba ambavyo itabidi wavi-maste ili kuendeleza ulaji wao. NA (Kwa maoni yangu) hawako tayari kuji-update na vipengere cvya katiba mpya itakayo kuja...
   
 5. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,832
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Hii kweli.!
   
 6. m

  mzambia JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Jamani mkono huyo ni mnafiki mkubwa anajifanya ana uchungu na watz wkt yeye ni mbinafsi sasa hataki katiba maana yake si aendelee kuiba?
   
 7. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkono ni fisadi mkubwa..
  anaogopa maana arobaini zao zimekaribia, zitatimia soon tutakapopata hiyo katiba mpya.
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Jan 1, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,319
  Likes Received: 418,615
  Trophy Points: 280
  Mkono jana usiku kaumbuliwa na bosi wa chama chake JK baada ya kuunga mkono katiba mpya ingawaje Jk tunahitaji kumwelimisha siyo utaratibu wa mwaka 47 utatumika hapa........................
   
Loading...