Mozilla watoa beta ya firefox quantum

awa jamaa kadiri wanavyotoa version mpya , ndivyo matumizi ya ram ndio yanazidi kuwa mabovu, na stick na firefox 50, iko ram friendly, v.56 ina panda mpaka 2gb uko ikichanganya, v.50 haizidi 400mb, with adds on disabled
Na hii ndio sababu ya ku-freeze kama alivyolalamika mdau mmoja hapo juu.
 
Please naomba kisaidiwa kwamza App ikiwa ktk Beta maana yake nn?
 
They saved me 1.02 seconds. I'm very happy. Now i can use the saved second to do much more productive things. Said sarcastically. :D:D
 
kiasi chake kuna matumizi ipo vizuri na matumizi mengine inazingua
Mkuu salama Mimi nilikuwa na swali nje ya uzi huu nilikuwa nahitaji laptop kwa ajili ya kufanyia editing zapicha na video kwa kutumia Adobe sasa nilikuwa naomba uniambie nahitaji laptop ya ainagani naniwe nabajeti ya kiasi gani samahani kwa usumbufu
 
editing ya picha unless unatengeneza mabango haitahitaji laptop kali, laptop ya kawaida tu hata ya i3 ya kizamani itafaa. kuhusu video yenyewe inataka cpu yenye core nyingi, jinsi zinavyokuwa nyingi ndio jinsi itakavyokuwa faster.

hizi cpu mpya za i7 na i5 za intel zinafaa zenyewe zina core kuanzia 6. mfano i5 8400H, sema bei yake imesimama nayo kuanzia milioni 1 na nusu kupanda juu.

kama budget ni ndogo una option mbili.
1. kwenye video usitumie Adobe premiere, utumie software inayokubali intel quicksync kama vile cyberlink powerdirector, hii itafanya kazi kwenye laptop ya intel yenye specs za kawaida mfano i3 6th gen, hizi mpya ni kuanzia laki 7 mpaka 9 hivi.

2. ununue laptop used za i7 quad, mfano i7 4700HQ ama i7 4700MQ etc, hizi unaziotea mtaani kwa around laki 4 mpaka 6 hivi, hio i7 ina nguvu kusukuma premiere vizuri tu.
 
Safi mzee...
akihitaji yenye i7 4700MQ anicheck.
 
Ndiyo nataka tengeneza mambongo na kutengeneza vipeperushi na kuedit video za harusi na video za kawaida kama za wasanii
 
itabidi ujipinde mkuu utafute laptop yenye core 6 na dedicated gpu. zinakuwa kwenye sale hadi dola 600 wakati mwengine.

kama budget ni ndogo tafuta desktop, laki 4 au 5 unapata i7 3rd gen yenye core 4 na thread 8 inafaa kwa hizo kazi kisha utaongezea baadae gpu ya dola kama 100 AmD rx 550 unapata mashine nzuri ya kueditia.

na kote kwa laptop na desktop kama upo serious utahitaji monitor ambayo inakubali rangi zote za adobe ili kile unacho ki edit na kukiona kwa macho ndio hicho hicho ukione kwenye bango, vioo vya bei rahisi kama hizo laptop huwa na tabia ya kuonyesha rangi fake, inaweza kuja kukucost kwenye kazi. na resolution ya mabango kama ni kubwa pia utahitaji monitor yenye resolution nzuri.
 
Hivi vitu vyote kuna duka lolote naweza kupata ambalo unalijua nina kama laki saba hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom