GE2025 Moza: Nitasimamia huduma ya mama na mtoto iwe bure kweli

GE2025 Moza: Nitasimamia huduma ya mama na mtoto iwe bure kweli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), Moza Ally amesema akichaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo atahakikisha anasimamia huduma ya mama na mtoto kuwa bure kikamilifu kama ambavyo inatakiwa.

Moza ameyasema hayo leo Septemba 29, 2025 akizungumza na wananchi wa eneo la Kigogo akisema "kwenye afya tuliambiwa huduma ya Mama na mtoto ni bure, nitakwenda kusimamia kama walivyosema huduma ya mama na mtoto ni bure nitasimamia hii huduma ikawe bure kweli kweli bila kupepesa macho" amesema Moza.

 
Back
Top Bottom