Moyo wangu unauma sana

Yaani mtu akudhulumu na wewe ujifungie ndani na kusali? Hata Mungu hatasikiliza sala zako. Anyways, mwanzisha thread anaonekana naye ni walewal tu kwani ametapeliwa halafu anataka kutafuta mtu wa kumtapeli zaidi.
kuna uzi alileta anataka mtu amsaidie sijui aongee na marehemu😆😆..ndo hapo nikasema kumbe wajinga bado wanaexisist
 
Achana nao hicho unachotafuta kitakutesa sana baadae. Bora ungeomba ushaur namna ya kufanya ili wakurudishie hela yako sio kulogana
 
unaomba mganga ili nae akakutapeli mil 4 cash zingine right?
 
Huoni ukiwaroga na ndugu zake utakua ume wa athiri watu wasio na hatia?
 
Nenda tengeru pale arusha ulizia mwamba anaitwa kuri. Malipo nazani ata 10k inatosha ni maarufu sana boda wa tengeru na maeneo jirani wanamjua.
Sitaki kuyafutwa pm maelezo niliyotoa yanatosha kumfikia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…