Moyo wangu unauma sana

Rafiki,
Tafuta njia nyingine mbadala. Njia hiyo huleta majuto kwa pande zote mbili. Tafakari akiamua kutumia njia hiyo hiyo kukurudishia mashambulizi hakika hamtapata nafuu ya uchumi, afya na roho.
Mungu akusaidie kuitafuta njia sahihi. Nenda kwao kwa wazazi wake. Waeleze ndugu zake wote muone nini mnafanya kumbuka kuchukua RB.
 
Bora liwe turubai tuh kwao au kwetu
 
Sasa familia zao zinamakosa gani ??

Tengeneza kiji'mtego na matapeli (Text Message au Voice Call) aoneshe kukili hilo then tafuta Askari au Maaskari Kupitia mtu wako mwingine(aku'connect) onesha hicho kimtego pata RB suala linaisha namna hio..
pls usimtafute askari on your way utapigwa tena.
 
sina mda huo tena wa kupoteza Hela nyingine
 
Uchawi mkubwa kuliko wote ni kujifungia chumbani na kusali kwanza kumsamehe na kumuombea toba. Muombee toba kila siku hadi upate amani kabisa. Ukifanya hivi siku moja utakuja na ushuhuda humu wa ajabu!
 
Samehe saba mara sabini. Mkuu binadamu ndio walivyo.
 
Bado unahamu ya kuendelea kutapeliwa.

Umeshawatengenezea matapeli njia nyeupee.
 
Nenda kapigwe zaidi kwa hao waganga. Matapeli wakubwa zaidi ni waganga wa kienyeji.

Jifanye umesamehe huku ukimlia timing. Akijitusua unampiga tukio na wewe.

Na kama unajimudu ki mkono kazipange nae umchape na kila ukikutana unamdunda tu mpaka akili imkae sawa.
Ila kama ndio mwenzangu na mimi mbavu nje shukuru Mungu, ingia ndani lia mpaka kamasi likutoke, labda machungu yatapungua.
 
Wewe kuna wataalam waliobobea tena kwa pesa ndogo kabisa na Matokeo ni ndani ya muda mfupi. Km ipo siku ataleta hapa mrejesho.
 
Pole sn ndugu, wengi tunapitia changamoto hizo. Ila nikwambie tu kuna wataalam hapa Tz watu hawawajui, wao wanajua watu wa sumbawanga, Tanga, Zanzibar (Pemba), na kigoma lakini nakuhakikishia mkoa wa Mara ni balaa, kuna kabila moja la wajaluo, hao ni hatari na nusu. Km humu kuna watu wanaowafaham vizuri watathibitisha haya nayokwambia. Ukimpata huyo hutajuta ni hatari na nusu. Km una ndugu yako anaishi huko mueleze atakusaidia. Anyway, jarb kutafuta. Ningekupa connection lakini.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…