Moyo wangu unanidanganya

Moyo wangu unanidanganya

MTOTOMTAMU

Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
67
Reaction score
5
Habari wana jf
Nimekuwa nikisoma thread za watu na wanavoshauliwa nahisi nami ntashauliwa kuondoa huu mzigo unaonimaliza kila kukucha

Nimependa nisipopendwa

Ni hiv mwaka 2009 nilipata kazi kwenye kampuni fulan huko songea kipind hiko nilikua single

Ndipo nilipoanzisha mahusiano na kijana ambaye nafanya nae kazi na tulidumu kwa mda kidogo na nikiamin nimepata
Na nikatokea kumpenda sana

Mwaka 2011 mwishon akaanza visa Mara ooh Wazaz wangu hawakutaki Mara siwezi kuoa mzanzibari ikabid nianze kufanya upelelez nikaanzia kwenye simu yake nikakuta namba ambayo huwa anawasiliana nayo sana nikaamisha kwenye simu yangu nikampigia

Jibu nililolipata nilitaman kuzimia alinambia ye ni mchumba ake na juz ametoka kumtolea posa

Baada ya siku 2 alikuja nyumban kwangu na kuniwakia sana kwanini nimepiga ile namba bila kumuuliza lkn hatukuachana aliningopea vya kutosha ooh utakuwa mke wa pili tukaendelea

Mwaka2012 hapa tufanyapo kazi kuna utaratibu endapo wafanyakaz mkioana wanawachangia pamoja hapa ndipo nilipoona machungu huyu bwana katangaza anataka kuoa ofisi yote wakajua naolewa Mie kumbe sio(aibu ilioje) maneno chinichini yakaanza watu kunisemasema ooh malaya ndo maana ameachwa (ila ukweli naujua mwenyewe)

Nikashindwa vumilia nikaomba ruhusa ya kwenda kusoma ikakubaliwa mwaka 12 nikaja dar kusoma

Kipind nipo dar akawa ananipigia simu nikamchunia weee ila nikashindwa tukawa tunawasiliana

Tatizo hasa

Nimemaliza kisoma natakiwa kurudi kazin
Sina uwezo wa kuvumilia maneno ya watu nina hasira sana na kuacha kazi siwez .(nimesomeshwa na ofisi)

Pia moyo wangu wangu bado unampenda huyu kijana kila nikijitahid niweze kumsahau siwez

Naomben msaada nifanyaje ili niweze kumsahau nirudie maisha ya zamani
 
Kumbe mtoto wa pwan ww ni hivi achana nae huyo anakutumia tuu mm mwenyewe demu nikiwa simpendi namtumia nikitaka kumuacha namtafutia sababu so dada angu huyo mwanaume hakupendi unataka kujua kama hakupendi fanya hivi mwambie aje kwenu kukuposa uone atakavoruka mm nimekaa zanj mazingira nayajua so dada angu mpotezee tafuta mwanaume mwengine tupo wengi sisi nakikubwa kinachokucost hujapata mwanaume mwengine kuwa single girl
 
MTOTOMTAMU, huenda jinalo ndiyo sababu hasa anapata wasaa mgumu kukuacha!

that aside, AMUA! AMUA! AMUA! ..sasa hivi..
 
Last edited by a moderator:

..........jina lako tu latosha MTOTOMTAMU

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
rudi kazini asee wewe sio wa kwanza kuachwa wapo wengi na tutaendelea kuwaacha... so concentrate na kazi kuna boya mwingine atakuja, na utampeleka unavotaka mana utakua ushapata experience...
 
Kumbe mtoto wa pwan ww ni hivi achana nae huyo anakutumia tuu mm mwenyewe demu nikiwa simpendi namtumia nikitaka kumuacha namtafutia sababu so dada angu huyo mwanaume hakupendi unataka kujua kama hakupendi fanya hivi mwambie aje kwenu kukuposa uone atakavoruka mm nimekaa zanj mazingira nayajua so dada angu mpotezee tafuta mwanaume mwengine tupo wengi sisi nakikubwa kinachokucost hujapata mwanaume mwengine kuwa single girl

Asante kwa ushaur
 
kwamba utakua mke wa pili??? na ww ukaridhika na ukaendelea kumpa dudu........ aiseee wanawake tunadanganywa lakini wewe umezidi
 
rudi kazini asee wewe sio wa kwanza kuachwa wapo wengi na tutaendelea kuwaacha... so concentrate na kazi kuna boya mwingine atakuja, na utampeleka unavotaka mana utakua ushapata experience...

Nakushukuru kwa ushauri wako
 
kwamba utakua mke wa pili??? na ww ukaridhika na ukaendelea kumpa dudu........ aiseee wanawake tunadanganywa lakini wewe umezidi

kwani kuwa mke wa pili dhambi!?? dini inaruhusu na dudu mmepewa bure kwanini amnyime...
 
labda unipm na mimi nisikie kwanza huo utamu ulioko kwa mtoto mtamu
 
Moyo wala audanganyi kwenye mapenzi ila ni hivi penda unapopendwa usipopendwa utaumia sana
 
Ngoja nitarudi...

Ila tafadhali umri wako?

Umepanga kuolewa lini?

Unatamani kuolewa ndoa ya mitala?
 
Back
Top Bottom