Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,990
Anakaa londoni
mmmh huko mbal sana mweee
Anakaa londoni
Habari wana jf
Nimekuwa nikisoma thread za watu na wanavoshauliwa nahisi nami ntashauliwa kuondoa huu mzigo unaonimaliza kila kukucha
Nimependa nisipopendwa
Ni hiv mwaka 2009 nilipata kazi kwenye kampuni fulan huko songea kipind hiko nilikua single
Ndipo nilipoanzisha mahusiano na kijana ambaye nafanya nae kazi na tulidumu kwa mda kidogo na nikiamin nimepata
Na nikatokea kumpenda sana
Mwaka 2011 mwishon akaanza visa Mara ooh Wazaz wangu hawakutaki Mara siwezi kuoa mzanzibari ikabid nianze kufanya upelelez nikaanzia kwenye simu yake nikakuta namba ambayo huwa anawasiliana nayo sana nikaamisha kwenye simu yangu nikampigia
Jibu nililolipata nilitaman kuzimia alinambia ye ni mchumba ake na juz ametoka kumtolea posa
Baada ya siku 2 alikuja nyumban kwangu na kuniwakia sana kwanini nimepiga ile namba bila kumuuliza lkn hatukuachana aliningopea vya kutosha ooh utakuwa mke wa pili tukaendelea
Mwaka2012 hapa tufanyapo kazi kuna utaratibu endapo wafanyakaz mkioana wanawachangia pamoja hapa ndipo nilipoona machungu huyu bwana katangaza anataka kuoa ofisi yote wakajua naolewa Mie kumbe sio(aibu ilioje) maneno chinichini yakaanza watu kunisemasema ooh malaya ndo maana ameachwa (ila ukweli naujua mwenyewe)
Nikashindwa vumilia nikaomba ruhusa ya kwenda kusoma ikakubaliwa mwaka 12 nikaja dar kusoma
Kipind nipo dar akawa ananipigia simu nikamchunia weee ila nikashindwa tukawa tunawasiliana
Tatizo hasa
Nimemaliza kisoma natakiwa kurudi kazin
Sina uwezo wa kuvumilia maneno ya watu nina hasira sana na kuacha kazi siwez .(nimesomeshwa na ofisi)
Pia moyo wangu wangu bado unampenda huyu kijana kila nikijitahid niweze kumsahau siwez
Naomben msaada nifanyaje ili niweze kumsahau nirudie maisha ya zamani
Asantee dada kwa ushaurii

Huko kuamua ndo nahitaji ila moyo wangu unaniongopea hadi naanza chukia kupenda